Ni lini wewe ulikwenda mahakamani ukaona haki inatendeka huko?Hao akina Selelii si wampeleke mahakamani, kama kweli ni viongozi wazuri?
Hivi huyu Rostam anafikiri watanzania hatuna akili? SIku yake itafika na ipo njiani atayameza yote anayosema mpaka kuwaita wabunge wenzake wapuuzi, what does he think he is???
Rafiki yangu Rostam ni dume la shoka.
Kama wanayosema ni kweli na wao kweli ni madume kwa nini wameshindwa kuweka ushahidi wao hadharani ama kumpeleka mahakamani?
Kama wanachosema ni majungu ni wazi rafiki yangu ni tishio sana kwao na ndio maana hawalali na kila siku ni kumpikia majungu tu.
Hao wanasiasa njaa kweli ni wapuuzi tu, kama kweli wana uhakika wa wanayoyasema kwa nini wanaishia magazetini na hawachukui hatua zaidi ya propoganda?
RA chapa kazi, dont waste your time with these losers who are too jealous with your political and economic prosperity.
Kumbe akina Serukamba wako wengi!
Naogopa ninapoona Jeuri na Kiburi cha Rostam dhidi ya Viongozi wenzie!Kuna Mwingine kule Dodoma alisema waziwazi kuwa "Huyu ni mwanamume wa shoka,hakuna kama yeye"...Nashindwa kuelewa maadili ya hawa Viongozi wetu!!kauli zao zinawaondolea sifa ya uadilifu na ustaarabu!