Rostam sasa awaita akina Selelii "wapuuzi"

Rostam mbona nataka kupanda vichwa watu? Kwani yeye ana nguvu juu ya bunge? Majaji wakimtaja tena atasema tuunde tume nyingine labda ndiyo itamtendea haki.
 
Kwa nini wasimalize tu,
Iundwe tume huru ya majaji ikiongozwa na kiongozi wa upinzani bungeni Hamad Rashid au Slaa au Zitto ndio tutajua ukweli.
Selelii jimbo lake liko ktk matatizo toka awe mbuge mpaka sasa hakuna alilofanya barabara ya Nzega Tabora mbovu,Hakuna maji Nzega matatizo ya dawa hospital.
Slaa jimbo liko wazi lete mtu hapa tunataka maendeleo.
Selelii anatumiwa tu na R.Mengi.
Bora mwenzio Rostam Jimbo lake kuna maji safi.
 
Hivi huyu Rostam anafikiri watanzania hatuna akili? SIku yake itafika na ipo njiani atayameza yote anayosema mpaka kuwaita wabunge wenzake wapuuzi, what does he think he is???
 
Naogopa ninapoona Jeuri na Kiburi cha Rostam dhidi ya Viongozi wenzie!Kuna Mwingine kule Dodoma alisema waziwazi kuwa "Huyu ni mwanamume wa shoka,hakuna kama yeye"...Nashindwa kuelewa maadili ya hawa Viongozi wetu!!kauli zao zinawaondolea sifa ya uadilifu na ustaarabu!
 
tumechoka na mambo ya RICHMOND..it is true hawa ni wapuuzi mnapiga kelele kwa dubwasha ambalo mnajua wazi hamuwezi kuliangusha.it wastage of time
 
kuna wakati huwa natamani kumchapa na fimbo
tungekuwa kwenye utawala wa sheria mzani sawa huyu yuko ndani saa nyingi sana
binafsi nimechoshwa naye
 
Rafiki yangu Rostam ni dume la shoka.

Kama wanayosema ni kweli na wao kweli ni madume kwa nini wameshindwa kuweka ushahidi wao hadharani ama kumpeleka mahakamani?

Kama wanachosema ni majungu ni wazi rafiki yangu ni tishio sana kwao na ndio maana hawalali na kila siku ni kumpikia majungu tu.

Hao wanasiasa njaa kweli ni wapuuzi tu, kama kweli wana uhakika wa wanayoyasema kwa nini wanaishia magazetini na hawachukui hatua zaidi ya propoganda?

RA chapa kazi, dont waste your time with these losers who are too jealous with your political and economic prosperity.
 
Kumbe akina Serukamba wako wengi!
 
Kumbe akina Serukamba wako wengi!

Kwa kumuita mtu fisadi kila siku bila ya kuchukua hatua za kuthibitisha huo ufisadi wake ni sawa na kufisadi heshima za wenzenu.

As far as I am concerned anayetuhumu bila ya ushahidi ndio fisadi nambari moja. Period!!!
 
Naogopa ninapoona Jeuri na Kiburi cha Rostam dhidi ya Viongozi wenzie!Kuna Mwingine kule Dodoma alisema waziwazi kuwa "Huyu ni mwanamume wa shoka,hakuna kama yeye"...Nashindwa kuelewa maadili ya hawa Viongozi wetu!!kauli zao zinawaondolea sifa ya uadilifu na ustaarabu!

Sofia ni mwanamke na anajua kwa nini Lowassa ni dume la shoka! Usim-bishie kwa sababu hujui alichotendwa na Lowassa hadi kutapika hadharani hivyo. Huwezi kujua bwana hilo dume la shoka limemfanyia nini zaidi ya midume mingine. She meant what she said... hakuna mjadala hapo... unless kama na wewe una uhakika lowassa si dume la shoke utuambie hapa....
 
Sasa mnatoka nje ya mada na hii ni kawaida ya watu waliofilisika kwa hoja na wakashindwa kujenga hoja kuwa Lowasa anayo haki ya kutetewa na watu wanaoamini kuwa hakufanya kosa lolote na huu ndio ujasiri wa kusimamia kile ambacho unakiamini hata kama uko peke yako.Sioni msingi wa kumkosea nidhamu mama sofia simba eti kwa kuwa alisema ukweli ambao hatuko tayari kuusikia hapa jamii forums.
 
Rafiki yangu Rostam ni dume la shoka.

Kama wanayosema ni kweli na wao kweli ni madume kwa nini wameshindwa kuweka ushahidi wao hadharani ama kumpeleka mahakamani?

Kama wanachosema ni majungu ni wazi rafiki yangu ni tishio sana kwao na ndio maana hawalali na kila siku ni kumpikia majungu tu.

Hao wanasiasa njaa kweli ni wapuuzi tu, kama kweli wana uhakika wa wanayoyasema kwa nini wanaishia magazetini na hawachukui hatua zaidi ya propoganda?

RA chapa kazi, dont waste your time with these losers who are too jealous with your political and economic prosperity.

Wewe na wenye kutubandikia mabandiko kama yako mmelipwa ngapi? Watu kama nyie ndio mnaostahili kuwekwa vitanzi shingoni na kunyongwa! Wasaliti wakubwa kwa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom