Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Halafu huu mkao wa mbunge wa Kigoma mbona unatia shaka ati???????????
Serukamba, fisadi mtoto mtarajiwa, analelewa katika mfumo ambao utamkomaza very soon, akikomaa atakuwa kama Lowassa, Karammagi na kina makamba.
ila umri wake na mwenendo wake namuona ni kama Makala tu,maana nasikia Makala anamwaga pesa ile mbaya kule Morogoro, ni tunda la utetezi zidi ya mafisadi.
thats right Mnyambala, i agree with U.Ofcourse kwa mazingira yetu ya kibongo ukizaliwa tu umeshakuwa fisadi, sasa inadepend huko mbele kama unatambua kosa na kuchange your ways. The Serukamba way is mainly kujikomba in the name of freedom of thinking and association!
Halafu huu mkao wa mbunge wa Kigoma mbona unatia shaka ati???????????
Wanadai huyo ni mushkeli...
Yakheee! Ata miye nilitaka kusemaa! jicho gani ilooo????????🙄