Rostam: Umasikini siyo jambo la kujionea fahari

Watanzania ni wanafki sana, hata wao wangekuwa kwenye nafas aliyo yeye wangeiba tu.
 
Mkuu kama miaka hiyo unayoitaja baba yake alikuwa anamiliki duka na gari (miaka ya 1970's) tambua kuwa hao hawakuwa masikini wa kujilinganisha kuwa eti mlikuwa sawa.
Kumbuka kuwa race ya waasia wapo smart sana katika money laundering and counterfeiting.
Anaweza kuufanya mwonekano wa duka lake uone lina thamani chini ya 1 million wakati thamani halisi ya biashara anayofanya inaweza kuwa na thamani halisi ya zaidi ya 100 million. Pia kupitia duka hilo hilo akatumia ku'justify' source ya utajiri wake hata kama ameupata kwa njia za kupiga dili haramu na kuwaeleza kuwa ametajirika kwa biashara yake ya kuuza duka.
Namna ya kuwaendea hawa watu inahitaji akili nyingi sana vinginevyo unaweza kuanguka mtegoni wa worshiping a devil who disguised as an angel
 
Kusikiliza habari za upande mmoja na kuifunga akili siyo jambo lenye afya ya nguvu ya hoja.
 
Ni hivi bro,mimi baba yangu ni mzungu alikuwa engineer wakati huo akifanya kazi bukene ambako kulikuwa na shughuli kubwa za kilimo,huyo baba alifanya sana biashara za kilimo,kulima na duka la vitu na alikuwa na toyota.Nafahamu yote usemayo,sio kwamba mimi ni mbumbumbu la,nimejionea mengi mno but kumshambulia rostam bila kukubali kuwa ametoka kwenye ukoo unaofanya biashara
 
Ni kazi sana kumbadili mtu mtazamo aliouchagua kuuona.
 
Ni kazi sana kumbadili mtu mtazamo aliouchagua kuuona.
anyway tuishie hapa tuache kila mtu asmini apendalo,tupiganie maisha na tukae kwa amani,nawashujuru wazazi wangu wanajua wenyewe walivyokutana,mradi tumezaliwa sisi hivi tulivyo,basi mie sina makuu,nafurahia life
 
anyway tuishie hapa tuache kila mtu asmini apendalo,tupiganie maisha na tukae kwa amani,nawashujuru wazazi wangu wanajua wenyewe walivyokutana,mradi tumezaliwa sisi hivi tulivyo,basi mie sina makuu,nafurahia life
Bei ya gesi anayotuuzia Tz ni sawa na anayouza Kenya?
 
Bei ya gesi anayotuuzia Tz ni sawa na anayouza Kenya?
kika nchi inategemea uchuminwa nchi hiyo bro,bei haziwezi kufanana,pia kumbuka hapa tanzania kuna makampuni mengi ya gesi,sio yote ta ristam,bei si ziko sawa,rostam ana kampuni moja ta gedi,taifa gas,vioi orxy,vipi manjis?
 
Siondoki mniuee Sasa🎂
 
kika nchi inategemea uchuminwa nchi hiyo bro,bei haziwezi kufanana,pia kumbuka hapa tanzania kuna makampuni mengi ya gesi,sio yote ta ristam,bei si ziko sawa,rostam ana kampuni moja ta gedi,taifa gas,vioi orxy,vipi manjis?
Mbona sukari na vifaa vya kieletroniki Zanzibar vina bei yenye ahueni kuliko huku? Mbona hatuwalaumu wafanyabiashara kwa hilo, halafu Mkuu haya mambo hutegemea kodi na mifumo yake ndani ya Nchi husika, kumbuka Mfanyabiashara hulenga faida hivyo lazima apige hesabu zake vizuri na kama kuna kodi lukuki katika Nchi yako unafikiri nini kitatokea?

Kwa ufupi sana, kadiri wafanyabiashara wakubwa wanavyokandamizwa na mifumo isiyo rafiki ndivyo mlaji wa mwisho " Mimi na Wewe" tunavyoumia.
 
Siondoki mniuee Sasa🎂
Hivi ni sawa kumwambia mtu aondoke kwao kabisa?..tatizo letu tukiona rangi nyeupe tunajua Wazungu tu, hapa mtaani Kuna Mchina kabisaa na amezaliwa hapa Kasandalala namuona naye tutakuja kusema arudi kwao China!!..
 
Ushuzi mtupu,kwa hiyo kama mtu akizaliwa kwenye familia duni ndio hawezi kuwa mwizi,akisaidia jamii ndio hawezi kuwa dalali wa nchi!!?? Mbona Mo na Bakhresa hawapigiwi kelele hivi!!?? Ina maana wanafanya biashara zisizo na makando kando,Rostam ni mwizi aliyeamua kujifungamanisha na wakubwa wa nchi walafi ili waendelee kuiba maliasili za watanzania,anzia kwenye gesi,migodi,ujangili nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…