ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

Mimi sio shabiki sana wa muziki, ila naomba kufahamishwa Niki ndo nani?

Kama Niki ni msanii wa ulaya, Roma aache beef kubishana na wazungu huko ulaya watamfyatua nyonga.
 
Kwa ufupi nikk ni lyrcal genius huwezi kumfananisha na roma ordinary storyteller
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ninyi ndo mnaomdanganya Niki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ninyi ndo mnaomdanganya Niki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahah unju mkali mzee ukweli lazima usemwe magenius wengi duniani hawakuwah kunufaishwa na uwezo wao nikk ni kama nikola tesla kwenye hiphop
 
Mambo haya mfano tuliaminishwa Zuchu Zenji anakubalika sana leo kashuka uwanjani na chopa mashabiki awamejitokeza wachache tofauti na tulicho aminishwa
 
Back
Top Bottom