Rotation ya kikosi kwa yanga Gamond asilaumiwe

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
2,228
Reaction score
3,045
Yanga walianza ligi kuu kwa kushinda mechi kwa magori mengi kumbuka zile 5G.

Gamond akadhani ana kikosi kipana akafanya rotation kwenye mechi dhidi ya Ihefu, kilicho mpata alipoteza ule mchezo.

Kila mtu alimtupia lawama kocha kwa kufanya rotation ya kikosi. Toka siku ile Gamond hataki tena kufanya rotation za kipuuzi. Angalia mechi aliyokosekana Diarra yanga alikula 3-0.

Yanga haina kikosi kipana cha kumpa kocha kufanya rotation ya kikosi. Washambuliaji wenyewe ndo kina Msonda, Mzinze afu mnaanza kumlaumu kocha.


Mpaka sasa Gamond yuko vizuri, kwenye ligi yuko vizuri kwenye champions legue, timu ilimpa masharti kuwa anatakiwa kuifikisha makundi, na amefanya hivyo sasa kocha mnamlaumu nini?



Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki tuna asili ya kuwa na ndimi mbili mbili, hao hao mashabiki wakiona kwenye kiungo Aucho yupo benchi au hayupo kabisa watahoji kwanini Aucho hayupo, kocha kadharau mechi. Timu ikifungwa lawama zitaenda kwa kocha kwanini kamuweka nje fulani. Gamond alianza mechi zake kwa kufanya kila mchezaji acheze, ni Msheri peke yake ndio hakuwahi kupangwa lakini wakamponza dhidi ya Ihefu.
 
Wabongo wabishi fikilia Klopp alivyopewa muda na Livapoor hadi akawapa champions legue, wabongo hawana uvumilivu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa Bandiko la Masuala ya Kabumbu Mkuu.

THANK YOU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…