Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Yanga walianza ligi kuu kwa kushinda mechi kwa magori mengi kumbuka zile 5G.
Gamond akadhani ana kikosi kipana akafanya rotation kwenye mechi dhidi ya Ihefu, kilicho mpata alipoteza ule mchezo.
Kila mtu alimtupia lawama kocha kwa kufanya rotation ya kikosi. Toka siku ile Gamond hataki tena kufanya rotation za kipuuzi. Angalia mechi aliyokosekana Diarra yanga alikula 3-0.
Yanga haina kikosi kipana cha kumpa kocha kufanya rotation ya kikosi. Washambuliaji wenyewe ndo kina Msonda, Mzinze afu mnaanza kumlaumu kocha.
Mpaka sasa Gamond yuko vizuri, kwenye ligi yuko vizuri kwenye champions legue, timu ilimpa masharti kuwa anatakiwa kuifikisha makundi, na amefanya hivyo sasa kocha mnamlaumu nini?
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app