Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

Huo umiliki wao kwenye Bank of Tanzania...ukoje...?Tuanzie hapo
Kama umesoma andiko kwanzia mwanzo utaelewa, mfano ni jinsi walivyo wafanyizia waingereza. juzi rais wetu alikuwa analalamika kwamba madini yana safirishwa nje lakini BOT hawana record zozote za kiasi cha madini yanayo pelekwa nje.
 
duuuuhh hao watu nizaidi ya hatari aiseeeeeee matawi yote hayo...??
nimebaki najiuliza kama kuna binaadamu wananguvu na mamlaka yakiasi hicho vipi uwezo wanguvu za SHETANI....kweli dunia haipo salama
Vipi mkubwa, umeiona north korea kwenye list?
 
Atleast ungesema hiyo familia inaushawishi mkubwa katika bank izo kutokana na kumiliki hisa kadhaa au kwa njia nyingine yoyote na si kwamba wao ndio wamiliki wa izo bank zote ikiwemo BOT.Hapo kidogo unaweza ukampa mtu hamu ya kuanza kufanya research juu ya jambo hilo.
 
Mkuu kwenye dunia hii iliyo jaa kila aina ya ulagai ukisubiri kila kitu utafuniwe we umezetu basi utamezeshwa sana visivyo faa.
 
Mkuu kwenye dunia hii iliyo jaa kila aina ya ulagai ukisubiri kila kitu utafuniwe we umezetu basi utamezeshwa sana visivyo faa.
Hakika utakua iyo story umemezeshwa nawewe ukacopy na kutupestia humu Jf pasipo kufanya research.

Chukua sample ya nchi kumi (10) kati ya izo ukianza na BOT angalia board of directors kwa kila bank uone majina ya member ya iyo familia yametokea mara ngapi.Sababu hauwezi ukawa mmiiliki wa company alafu usiwe katika board of directors wala usiwe na muwakilishi.

Na kwa jinsi ulivyowaelezea kwamba wanafikia hadi hatua ya kuoana wenyewe kwa wenyewe ili kulinda na kuendeleza mali zao basi automatically lazima position za juu katika izo bank wawe wenyewe au ndugu zao wa karibu.

Anzia hapo mkuu utagundua kua uchezewa ngumu kumeza nawewe ukameza ivo ivo.

Za kUamBiwa cHaNganya nA ZAko.
 
Mkuu hatubishani, lakini naomba unisaidie majibu ni kwanini nchi inakopa? na kama inakopeshwa dhamana ina kuwa ni nini?
 
Tuwekane sawa kuna uzi humu wa JUVE unaeleza familia ya Rockefeller kama familia tajiri zaidi duniani.
Kweli hii familia ya Rockefeller ipo na nitajiri sana,

Rothschild sio wajinga; wanajua wanachofanya na wamefanya kazi kwa bidii sana ili kuilinda siri yao. Hakuna utawala wa siri kwa ulimwengu unaotaka jina lao lienee kila mahali; Badala yake, wanapendelea kudumisha siri zao ili kulinda takwimu zao zisiweze kuanguka wakati watu watakavyo hoji mambo yao.

Inawezekana Rockefellers inaonekana ni familia matajiri sana duniani kwasababu jina lao lina julikana zaidi duniani, lakini Rothschilds wamekuwa makini kwa kutoweka jina lao kwenye mashirika yao na wanaweza kusimamia bila kuhusishwa na mambo mengi. Nina hakika watu wengi hawajui jina la Rothschild.
 
Mkuu hatubishani, lakini naomba unisaidie majibu ni kwanini nchi inakopa? na kama inakopeshwa dhamana ina kuwa ni nini?

Serekali inakopa kwa sababu expenditures zetu ni kubwa kuliko revenue, ivyo tunatatizo la deficiency budget na njia inayotumika kupunguza effects za deficiency budeget ni kuincur debits kutoka kwa outside donors kama world bank,IMF pamoja na nchi tajiri kama marekani na nyinginezo.

Tatizo letu hapa sio kukopa bali mikopo tunayoichukua tunaifanyia nini pamoja na kukosekana kwa usimamizi mzuri wa pesa zilizokopwa kwa miongoni mwa viongozi wanaopewa dhamana ya kuzisimia pesa izo pamoja na miradi iliyoanzishwa na serekali.

Je kuna documents au takwimu zozote zinazoonesha BOT ipo chini ya umiliki wa hao Rothschild?

Je kuna mkopo wowote ambao Tanzania imewahi kuchukua katika familia ya Rothschild?

Je inawezekana kumiliki bank kuu za asilimia kubwa ya mataifa yaliyopo duniani alafu utajiri wako usiingie top ten katika world record.?ikumbukwe kwamba utajiri kupitia mabank ni utajiri halali na takwimu zake za mapato hazifichiki.

Ikumbukwe pia Rothschild ni familia au ukoo kabisa na sio single individual hivyo kinachopatikana kinagawanywa kwa members wote

Kitu kingine izo takwimu za 500 trillion net worth ni za mashaka sababu source nyingi zimekanusha ikiwemo Forbes na hata wewe mwenyewe umethibitisha kwamba wanaficha utajiri wao sasa kama wanaficha wewe iyo net worth ya 500 trill unaitoa wapi.


 
Mkuu sijui kama tupo pamoja au laa, Nihivi nchi nyingi zinaingizwa kwenye target ya kukopa bila nchi husika kujua, wapo baadhi ya viongozi wanaojua hii mikopo ilivyo ya kitumwa, wao hujizui kutokukopa kwahiyo nchi zao huingia kwenye migogoro ama ya vita au magonjwa mwisho wa siku uchumi unakuwa taabani na kuangukia kwenye mikopo.
Kumbuka hawa majamaa wana Economic Hitmen wao ambao wanajua nchi wanayo itarget haiwezi kurudisha mkopo watakao pewa, zitafanyika figisu za kila aina ili tu nchi iendelee kuangukia kwenye madeni. Hapo ndipo wanapo anza kuzichukua rasilimali za asili za nchi, kama ni mafuta watachimba nakuyasafisha na kuwauzia tena nyinyi wenye na wao kuendelea kuvuna faida, yawe madini, gesi nk, hapo ni utumwa milele. vitabu vya dini vinasema, mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji.

Maswali ni mengi kwamba mbona hawapo forbes ikiwa wana utajiri mkubwa hivyo? wao hawahitaji kujulika na pia jina lao likiwa wazi mipango yao itachelewa, forbes imetengenezwa ili kutupumbaza sis, ili wao wafanye kazi zao kwa uhuru na sisi tuangaike na kina bill gates. Mfano zipo secret societies nyingi lakini freemason imeachwa kwa maksudi ijulikane na watu. Yote hayo ni kutupumbaza tuendelee kuwa tizama freemason na kuzisahau hizo societies nyingine. Mkuu dunia inaongozwa na watu wenye akili sana wakiipeleka dunia wanavyo taka, Tunaongozwa na tusio waona.
 
hebu acha ujinga wewe BOT ya myahudi? unastahili kunyongwa wewe
Unafikiri huwa wananyongwa kirahisi? Inashangaza kuwa bado umelala na siku ukiambiwa uhame nchi usiwe na swali maana hujui kitu chochote. Kwani BOT ni nini? mbona wanamiliki benk ya USA sembuse na hii benk yetu.
 
Mkuu mambo hayapo kama unavyo fikiri tunatawaliwa na tusio waona
misingi ilitengenezwa tangu kipindi cha utawala wa kikoloni,, kama wao ni moja ya baadhi ya wafanyabiashara waliosponsor serikal zao katika zoezi hilo,, its possible for them to have that power,,,waliona mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…