Serekali inakopa kwa sababu expenditures zetu ni kubwa kuliko revenue, ivyo tunatatizo la deficiency budget na njia inayotumika kupunguza effects za deficiency budeget ni kuincur debits kutoka kwa outside donors kama world bank,IMF pamoja na nchi tajiri kama marekani na nyinginezo.
Tatizo letu hapa sio kukopa bali mikopo tunayoichukua tunaifanyia nini pamoja na kukosekana kwa usimamizi mzuri wa pesa zilizokopwa kwa miongoni mwa viongozi wanaopewa dhamana ya kuzisimia pesa izo pamoja na miradi iliyoanzishwa na serekali.
Je kuna documents au takwimu zozote zinazoonesha BOT ipo chini ya umiliki wa hao Rothschild?
Je kuna mkopo wowote ambao Tanzania imewahi kuchukua katika familia ya Rothschild?
Je inawezekana kumiliki bank kuu za asilimia kubwa ya mataifa yaliyopo duniani alafu utajiri wako usiingie top ten katika world record.?ikumbukwe kwamba utajiri kupitia mabank ni utajiri halali na takwimu zake za mapato hazifichiki.
Ikumbukwe pia Rothschild ni familia au ukoo kabisa na sio single individual hivyo kinachopatikana kinagawanywa kwa members wote
Kitu kingine izo takwimu za 500 trillion net worth ni za mashaka sababu source nyingi zimekanusha ikiwemo Forbes na hata wewe mwenyewe umethibitisha kwamba wanaficha utajiri wao sasa kama wanaficha wewe iyo net worth ya 500 trill unaitoa wapi.