Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

Fact
 
FACT
 
Mkuu hatubishani, lakini naomba unisaidie majibu ni kwanini nchi inakopa? na kama inakopeshwa dhamana ina kuwa ni nini?
Nchi inakopa kwa sababu ya kuwa na mapato madogo kulinganisha na matumizi,na kukopa Ni katika vyanzo mbalimbali na sio bank tu ko usiclaim na sio kila mkopo unakuwa na dhamana Kama inavyodhaniwa FEDERAL FUNDS RATE inaweza kutumiwa kuepusha hiyo kitu,.
 
Sasa Kama Ni hivyo wewe umejuaje na hizo takwimu umezitoa wapi wakati umesema kuwa wanafanya secret,it doesn't make sense,au wewe unaonaje kuhusiana na hii hoja ambayo umeitoa,ufafanuzi please.
 
Fact
 
Unafikiri huwa wananyongwa kirahisi? Inashangaza kuwa bado umelala na siku ukiambiwa uhame nchi usiwe na swali maana hujui kitu chochote. Kwani BOT ni nini? mbona wanamiliki benk ya USA sembuse na hii benk yetu.
Fatilia usifuate mkumbo kamanda,unajua maana ya BOT?
 
Sasa Kama Ni hivyo wewe umejuaje na hizo takwimu umezitoa wapi wakati umesema kuwa wanafanya secret,it doesn't make sense,au wewe unaonaje kuhusiana na hii hoja ambayo umeitoa,ufafanuzi please.
Hichi ambacho watu wanakijua kuhusu familia hii bado ni kidogo sana, pia jua dunia haina siri siku zote ukweli ni ukweli tu! Hata kama ni ukweli mdogo bado unatosha kwa anaehitaji kuona.
 
Ni plan ya kuingia katika mifumo wa ki capitalism,na kuuacha mfumo wa ki socialism kwa ku adapt SAP's conditionalities under IMF&WB via IBRD
Hiyo haikutokea bahati mbaya ulikuwa mpango madhubuti kutuporomosha.
 
Mkuu endelea kuwa ndani ya boksi siku ukitoka humo pengine unaweza kuelewa mambo jinsi ya livyo.
 
Ninewasikia Sana hao jamaa nikajaribu kuwafatilia nikwawa nawachanganya na rocfeller ila hawa Rothchild ni Habari ukisoma vizr vita za Nyuma za nchi za ulaya wamehusika sanaaa wameuza Sana sirahaa na pia walihusika katika Great Depression ni kwer usemacho kwa wasomi na wadadis kwa wajinga lazima wabishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo ni Conspirancy tu
Rothschild Conspiracy: Do They Rule The World? - Conspiracies.net
kama katika Familia tajiri 25 wa hapa Duniani hawa Rothchild leo hawapo itakuwaje wamiliki hizo 475trilioni zilizobaki
25 richest families in the world are worth more than $1 trillion 25 richest families in the world are worth more than $1 trillion
Richest people in the world: Forbes' top 20 billionaires of 2018 Richest people in the world: Forbes' top 20 billionaires of 2018
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…