Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

Kweli ni msanii na suala la yeye kuwa Mnyemwezi sipingi maana ni mshamba kishenzi. Wewe mtu gani uko in your 30s unalilia kutrend Instagram. Wanyamwezi ni jamii ya kishamba sana na ndiyo maana sipendi kabisa mtu aniite ama kunifananisha na Mnyamwezi.
Kabisa mkuu hata mm sitaki huo upuuzi mana nitakua sawa na kina country boy [emoji3][emoji3][emoji3] Ndio wanaojiita wanyamwezi mda ote wanalamba lamba lips
 
Wazee wazamani walisema ukitaka kuoa nenda kaoe kwenu manake ndo watu mnaojuana ,
Ninachokumbuka n kuwa wazee wale hawakuwa wajinga ,


Oa ,kwenu ,olewa kwenu

Hizi zingine ni drama tu
Kuna mzee huku kitaa ni mpumbavu balaa
Hadi wajinga wanazeeka mkuu
 
Kabisa mkuu hata mm sitaki huo upuuzi mana nitakua sawa na kina country boy [emoji3][emoji3][emoji3] Ndio wanaojiita wanyamwezi mda ote wanalamba lamba lips
Wapuuzi sana, tunavunjiana heshima tu. Utamfananishaje mtu na jamii ya kishamba ili aonekane mjanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…