Round 1 siku 1: Why?

Lishe01

Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
42
Reaction score
34
Nipo na mchumba, mwezi wa 4 sasa. Anadai yeye hapendi hard sex, akifika kileleni, analegea na kuishiwa nguvu. Hataki umguse kabisa mpaka kesho yake. Hata kama mimi sijafika, nalazimika kuvumilia na kushinda au kulala hivyo. Romance na pesa vyote nampa vizuri. Tatizo lake kuchoka na kukinai tendo just baada ya round 1 tu.

Je, mchumba huyu ana tatizo la kiafya au nini naweza kufanya ili awe na hamu wakati wote? Naomba ushauri wenu kabla sijafanya maamuzi ya kuachana naye.
 
nenda nae taratibu
 
Sasa si bora huyo wako, mimi wangu ni bao 1 mpaka baada ya wiki. Kuna wakati inaweza pita hata wiki 2 yeye waala hana habari..
 
Kuna demu pia nimetoka kuachana naye kama mwezi mmoja umepita, yeye anafanana na huyo wa kwako, yani kwanza anafika kileleni haraka, afu akifika hamu ya sex inakata kabisa,.hata ukiendelea unaona kabisa anabadilika anakua hatoi tena ushirikiano na ukiendelea zaidi anaanza kulalamika unamuumiza.
Asubuhi ni mvivu sana kutoa mzigo yani unaweza ukagombana naye,

Nlikaa nkatafari nkaona nimuache tuu mtoto wa watu coz nlikua nateseka bure.
Nahisi inaweza kua wanawake wanatofautiana au pia mambo ya masturbation na lesibian yanaweza yakachangia

Wataalam watatujuza sababu zinazopelekea mwanamke kua hivyo
 
Hayo ndio madhara ya kutumia pesa au ujanja ujanja kupora pisi za watu. Pisi inafikiri kuna maajabu atayakuta, anaanza kuona mapicha picha na kumkumbuka ex kihisia 😀!!!
msimseme mweka mada kweli wapo wanawake wa hivyo usipomuwahi anawahi yeye na wengine wanachelewa kijasho kitakutoka!, huyo wakwake ana high libido ni kama sie baadhi yetu wanavyowahi!.

shida kwenye jamii matatizo ya uzazi kuchelewa ama kuwahi kwa mwanamke hayazungumzi kama ya mwanaume ila yapo!, nafikiri wakamuone mtaalamu.
 
Haya maisha yanafuraisha sana, mwingine analalamika wa kwake hafiki, mwingine wa kwake anafika haraka,
na wote mpo humuhumu. Haya tafutaneni mbadilishane.

Umesema mchumba sio mke, haya mwache tafute gumegume moja likuvunje kiuno
The world is fair, b'se its unfair to everyone
 
Wanawake wanatofautiana kama sisi tunavyotofautiana. Inategemea mwanaume wake wa kwanza alimzoeza vipi.

Kuna Wanaume wanaconnect na wengine hatuwezi kuconnect lazima kuwepo na pause kati yake. Wale wanawake waliozoezwa kuconnect huwa hawakubali uitoe ukishaitoa tu na hamu yake inakata. Hii huleta usumbufu hasa. Kama unavyotaka yeye abadilike, lazima ukubali pia nawe kubadilika pia.
 
Mrudishe kwa mpenzi wake! Mwanamke akikupenda haijalishi amefika kileleni au la, lazima atahakikisha na wewe umeridhika.

Huyo hana hisia na wewe!
Thanks. Huyu dada ana mtoto mmoja, nilikutana naye akiwa kwenye majonzi ya kuachika kwa aliyempachika mimba akagoma kumuoa. Sasa nikajipachika hapo na she is pretty girl lakini ndio hivo, mapenzi tunafanya and she is so romantic like me, lakini akifika tu, anagomea mchezo mpaka next day. Nawaza labda bado anawaza ex wake, ndiyo maana nahisi labda nimuache arudi kwa mzazi mwenzio japokuwa alimfukuza. Au nikahisi labda ni mgonjwa ili nimpeleke hospital tuishi maisha ya furaha, tufunge ndoa but kikwazo ni sex ya masharti. Cha asubuhi sijawahi kupata....
 
Piga chini sio wako uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…