Round 1 siku 1: Why?

Mdogo wangu nakushauri utumie nguvu kujenga maisha yako. Acha kupoteza muda wako.

Utaikumbuka hii Post yangu ukifikisha miaka 45
Mahusiano pia ni muhimu, nahitaji kuwa na mke tujenge familia maana tayari nimeshajitafuta, kazi ninayo, usafiri na nyumba ninavyo. Sasa nahitaji mke but anayeweza kuniridhisha kitandani na kujenga another brighter future
 
SIkio la kufa, kila siku tunaimba hapa Single maza ni Scam bado umeangukia huko huko?
We ni mwanaume wa ajabu sana.
Siyo kila single mother ni mbovu. Wengine walizalishwa bahati mbaya. Tusiwahukumu wote kwa pamoja.
 
Mpandishe cheo. Alafu na wewe uanze mpapasa tu then unamuacha tena uwe unaonesha furaha. Hata hivyo acha kuendekeza ngono kikubwa unaiona instosha.
Kwa sasa siwezi kumpandisha Cheo maana sitaki kuwa na mke ambaye hawezi kuniridhisha kwa sasa. Sitaki kuwa mchepukaji huko mbeleni.
 
Huyu mchumba wangu, akifika kileleni tu, anani-push au hata kunifinya. Anasema nimwache apumzike. Siwezi kuendelea kabisa. Nikimwachia anajilaza hoi, nikiomba mwendelezo wa game ili na mimi nimalizie anakataa, mpaka kesho yake asubuhi. Nikiomba cha asubuhi anasema bado amechoka mpaka jioni. Tena amesema ataandika ratiba ya kupeana show iwe jioni tu, bao 1. Hahaha....naishia kucheka yaani
 
Hapana. Hujasoma vizuri. Demu wangu ndiye anamaliza haraka kisha ku-deny game continuity until next day, after 24 hours
 

Jitahidi kuhakikisha hakojoi. Akitaka kukojoa wewe chomoa au mfinye akili iruke aanze moja hadi wewe untangulie
 
Miezi 4 nenda nae pole pole anapokataa mwambie sasa nikamalizie wapi . Kama anakupenda kweli atakupa uendele hivyo hivyo ila ukimakiza atakuambia hauna UTU, hilo usijali. Pia kama chini anumia sana msikilize wapo ambao wakifika mshindo ukilazimisha chini wanaumia mbaya ila atakunyonya, ataweka kwenye maziwa yake au atakuwekea kwenye mapaja umalize na wewe mpaka hapo atakapo zoea mtwangio mpya na kujifunza kuwa na hisia na wewe.

Angakizo;: Akifikisha miezi 6 bado yupo hivyo hivyo achana nae mwache aende kwa ampendae. Mwanamke akikupenda hawezi kukuacha bila kumaliza maana wanajua akikuacha utaenda kumalizia kwa mwanamke mwezake..
 
Kabisa maana hapa nawaza kumtafutia mbadala. Nimeshaongea naye anasema nivumilie tu maana atazoea lakini sioni dalili kabisa, naweza kukata wiki bila kufika orgasm. Then naanza kutamani skirts mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…