Round 6 CAFCL Team of the Week

Round 6 CAFCL Team of the Week

Juzi nilipata muda wa kumfuatilia Ngoma muda wote. Japo Chama alikuwa ananizubaisha ila niliinjoi sana kumtazama Ngoma
 
Team of the week, player of the week na goli la week CAF wametoa?
Kwa kweli sijaona na sijajua kama wana utaratibu huo. Reference zangu kuhusu hayo huwa katika mtandao wa Sofascore ambao wao huwa wanatoa. CAF wamekuwa wakitoa club ranking
 
Kwa kweli sijaona na sijajua kama wana utaratibu huo. Reference zangu kuhusu hayo huwa katika mtandao wa Sofascore ambao wao huwa wanatoa. CAF wamekuwa wakitoa club ranking
Labda msimu huu ndio waache, ila walikuwa wanatoa goli la wiki, timu ya wiki, na mchezaji wa wiki.
 
Back
Top Bottom