Round tatu za APPLICATION za vyuo: Ina Implications zipi?

Round tatu za APPLICATION za vyuo: Ina Implications zipi?

mim nahc na vyuo vinakataa wanafunz kutokana na matokeo yao hata kama nafac zpo

hivi inawezekana TCU wakakupitisha kuwa una qualify kuapply chuo fulani course fulani alafu hicho chuo kikakukataa?hiyo itakuwa na maana kuwa TCU wana qualifications zao au cut-off points zao na vyuo navyo zinakuwa na za kwake?hapo huoni kuwa kutakuwa na mkanganyiko hata kwa system ya CAS yenyewe?
 
Mkuu kalipeni,sababu na. 1 na 2 hazina ukweli,kwani application zinazo fuatia hakuna kununua kadi mpya,zinatumika zile zile za awali.

that is the point mkuu,ina maana ni wale walioapply tangu awali,sasa na mimi ndo najiuliza kimetokea nini wakakosa mara hizo zote wakati system ilitumika kuprocess selection
 
Last edited by a moderator:
Jamami tuache uzushi,tcu hawawezi kuweka cutting points zao bila ya kuwa na vikao na maelewano na vyuo vyote

TCU hawako kama rais Kagame wa Rwanda jamani!
Naamini wana lengo zuri kwa vijana tusome vyuo ila kuna baadhi ya makanjanja kwenye baadhi ya vyuo ndo yanabana utadhani vyuo ni vya baba yao, yanatoka vitambi tu,,argh.... na hasira mimi.
 
Back
Top Bottom