Kiukweli round about aka keep left husaidia sana foleni sababu kama hakuna gari au magari mtu anaweza endelea na safari tofauti na traffic lights ambapo hata kama hakuna gari inabidi kusubiri.
Cha msingi pia hizo keep left pia ziangaliwe ukubwa zisiwe ndogo sana kama ya hapa chalinzi ambapo zinaweza nazo kuwa kero.Ukiweka keep left kubwa yenye line au njia hata tatu inaweza sana saidia.Ila yote ya yoye maeneo yenye makutano makubwa fly over au by pass zinaweza kuwa suluhisho