Route mpya ya daladala kuanzia Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi Kibaha kupitia Loliondo imeanza

Upendo iswa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
375
Reaction score
621
Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra waendelee kusajili Route nyingine kuanzia Loliondo kwenda Mwanalugali, Loliondo Lulanzi, Loliondo Soga via Boko mnemela kusaidia wananchi
 
Shida ni miundombinu ya barabara popote gari lina fika. Hakuna tajiri atapeleka gari kwenye barabara mbovu
 
Wale jamaa wa mwendokasi za Mbagala si wameomba latra izifutie ruti daladala???

Kama vipi hizo daladala zipelekwe kwenye ruti hizo za chaka to chaka.
Unakanyaga lami ukiwa unavuka kutoka upande mmoja kwenda mwingine
 
Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra waendelee kusajili Route nyingine kuanzia Loliondo kwenda Mwanalugali, Loliondo Lulanzi, Loliondo Soga via Boko mnemela kusaidia wananchi
Mkuu, imeanza tayari kwa maana ya wapo walioomba au bado ni hatua ya maombi (tangazo)? Hii ruti itasaidia sana kupunguza gharama ya kupanda bodaboda, ingawa kwa upande mwingine, itapunguza vipato kwa bodaboda
 
Wakumbuke mabwepande kwenda Magufuli stand kupitia msitu wa pande
 
Mkuu, imeanza tayari kwa maana ya wapo walioomba au bado ni hatua ya maombi (tangazo)? Hii ruti itasaidia sana kupunguza gharama ya kupanda bodaboda, ingawa kwa upande mwingine, itapunguza vipato kwa bodaboda
Imeshaanza japo magari bado ni machache
 
Back
Top Bottom