Upendo iswa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 375
- 621
Shida ni miundombinu ya barabara popote gari lina fika. Hakuna tajiri atapeleka gari kwenye barabara mbovuRoute mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra waendelee kusajili Route nyingine kuanzia Loliondo kwenda Mwanalugali, Loliondo Lulanzi, Loliondo Soga via Boko mnemela kusaidia wananchi
Wale jamaa wa mwendokasi za Mbagala si wameomba latra izifutie ruti daladala???Shida ni miundombinu ya barabara popote gari lina fika. Hakuna tajiri atapeleka gari kwenye barabara mbovu
Mkuu, imeanza tayari kwa maana ya wapo walioomba au bado ni hatua ya maombi (tangazo)? Hii ruti itasaidia sana kupunguza gharama ya kupanda bodaboda, ingawa kwa upande mwingine, itapunguza vipato kwa bodabodaRoute mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra waendelee kusajili Route nyingine kuanzia Loliondo kwenda Mwanalugali, Loliondo Lulanzi, Loliondo Soga via Boko mnemela kusaidia wananchi
Lami ipo kuanzia Loliondo hadi KidimuKuna lami?
Imeshaanza japo magari bado ni machacheMkuu, imeanza tayari kwa maana ya wapo walioomba au bado ni hatua ya maombi (tangazo)? Hii ruti itasaidia sana kupunguza gharama ya kupanda bodaboda, ingawa kwa upande mwingine, itapunguza vipato kwa bodaboda
Hapo mtu ukute unaenda loliondo kweli ya kwa babuLami ipo kuanzia Loliondo hadi Kidimu