Route mpya ya Jambo-Jet yapigwa ban Burundi,Sababu inachekesha

It makes no sense flying a Dreamliner with business class to a city where the bulk of business class fliers are government officials. Akili ya madikteta ni maji tu.
 
There is something more than that, suala la kupeleka Airline isiyo na business class wenzenu wameona kama ni madharau, Wakenya muangalie mahusiano yenu na majirani. Ujuaji mwingi utawaharibia, things are changing.
 
Hahaaa.. Burundi wamenikosha, kuna namna hapa siyo bure. Kuna mkenya mmoja na hekima zake ali analyse kwenye article moja kwanini Kenya inachukiwa na majirani zake... aliandika mengi sana! Inabidi mji sahihishe wajameni.
 
Burundi na Kenya wapi na wapi jombaa? Hujiulizi inakuwaje Kenya inadhubutu ndani ya nchi ambayo huwa mnasema ni mkoa ndani ya Tz? Hayo kando, nakuamkua jombaa, umekuwa M.I.A. siku nyingi sana, shughuli ya kuvuna korosho imeisha bila tashwishi?
 
Warundi wanalao Jambo tu
basi waboreshe shirika lao
 
Some countries are being runned like kitchens,reducing govt spending on foreign travel should be on every govt agenda.
Sorry but their loss
 
Burundi na Kenya wapi na wapi jombaa? Hujiulizi inakuwaje Kenya inadhubutu ndani ya nchi ambayo huwa mnasema ni mkoa ndani ya Tz? Hayo kando, nakuamkua jombaa, umekuwa M.I.A. siku nyingi sana, shughuli ya kuvuna korosho imeisha bila tashwishi?
Nipo msee.. ninapambana na hali yangu, Korosho ina pesa nyingi sana msee. Kawaulize watu wa lamu
 
Dreamliner ikiwa ya KQ ni bodaboda, ikiwa ya ATCL ni the biggest investment in Tz. Unadhani unatusi Wakenya kumbe unatusi Tanzania, nchi yako.
ha ha a brain full of contradictions, Bongolala mentality is their biggest undoing
 
Nipo msee.. ninapambana na hali yangu, Korosho ina pesa nyingi sana msee. Kawaulize watu wa lamu
Hahaa! [emoji1] Naona upo. Hali freshi eeh? Bado tunangoja ng'ombe na kinywaji cha wazee. [emoji40] Kule Kiwayuu, Lamu huwa wanasema ...hizinkorosho dhahabu lakin mie sinzioni zote zinzamia kwa mke wa tano. Behave. [emoji23]
 
Burundi Nchi ambayo this year FDI worth USD laki tatu(300,000) only eti inaleta nyodo hahah.
 
1542151854349.png
1542151854349.png
burundi though
 
Hahaa! [emoji1] Naona upo. Hali freshi eeh? Bado tunangoja ng'ombe na kinywaji cha wazee. [emoji40] Kule Kiwayuu, Lamu huwa wanasema ...hizinkorosho dhahabu lakin mie sinzioni zote zinzamia kwa mke wa tano. Behave. [emoji23]
Hahaaa watu wa pwani akili zao zinafanana! Mfano wasee wa Msa wa humu JF likes of acaderm! habari za ufisi ndiyo zina wakosha.. unaeza usimuone humu muda kumbe imejichimbia jukwaa la mapenzi na mahusiano [emoji2]
 
Kama Burundi wanakataa ujue kwamba hawakutendewa haki.mnawadharau lakini mnataka kufanya nao biashara.walahhi nyangau hana aibu
 
Soma mwanzo uelewe. Tunajua uelewa wenu iko below sea level lakini jaribu tu
 
Hahaaa watu wa pwani akili zao zinafanana! Mfano wasee wa Msa wa humu JF likes of acaderm! habari za ufisi ndiyo zina wakosha.. unaeza usimuone humu muda kumbe imejichimbia jukwaa la mapenzi na mahusiano [emoji2]
Mwanechu wathaa hzo wewe...mchocho wa kiume kazi kusema ya wachu tu..nenda amu ukafugwe..
 
Burundi na Wabongo wote kimoja kwenye akili zao.....
 
Back
Top Bottom