NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Ndege ya ATCL japo ndogo ina business class!
Burundi na Kenya wapi na wapi jombaa? Hujiulizi inakuwaje Kenya inadhubutu ndani ya nchi ambayo huwa mnasema ni mkoa ndani ya Tz? Hayo kando, nakuamkua jombaa, umekuwa M.I.A. siku nyingi sana, shughuli ya kuvuna korosho imeisha bila tashwishi?Hahaaa.. Burundi wamenikosha, kuna namna hapa siyo bure. Kuna mkenya mmoja na hekima zake ali analyse kwenye article moja kwanini Kenya inachukiwa na majirani zake... aliandika mengi sana! Inabidi mji sahihishe wajameni.
Nipo msee.. ninapambana na hali yangu, Korosho ina pesa nyingi sana msee. Kawaulize watu wa lamuBurundi na Kenya wapi na wapi jombaa? Hujiulizi inakuwaje Kenya inadhubutu ndani ya nchi ambayo huwa mnasema ni mkoa ndani ya Tz? Hayo kando, nakuamkua jombaa, umekuwa M.I.A. siku nyingi sana, shughuli ya kuvuna korosho imeisha bila tashwishi?
ha ha a brain full of contradictions, Bongolala mentality is their biggest undoingDreamliner ikiwa ya KQ ni bodaboda, ikiwa ya ATCL ni the biggest investment in Tz. Unadhani unatusi Wakenya kumbe unatusi Tanzania, nchi yako.
Hahaa! [emoji1] Naona upo. Hali freshi eeh? Bado tunangoja ng'ombe na kinywaji cha wazee. [emoji40] Kule Kiwayuu, Lamu huwa wanasema ...hizinkorosho dhahabu lakin mie sinzioni zote zinzamia kwa mke wa tano. Behave. [emoji23]Nipo msee.. ninapambana na hali yangu, Korosho ina pesa nyingi sana msee. Kawaulize watu wa lamu
Hahaaa watu wa pwani akili zao zinafanana! Mfano wasee wa Msa wa humu JF likes of acaderm! habari za ufisi ndiyo zina wakosha.. unaeza usimuone humu muda kumbe imejichimbia jukwaa la mapenzi na mahusiano [emoji2]Hahaa! [emoji1] Naona upo. Hali freshi eeh? Bado tunangoja ng'ombe na kinywaji cha wazee. [emoji40] Kule Kiwayuu, Lamu huwa wanasema ...hizinkorosho dhahabu lakin mie sinzioni zote zinzamia kwa mke wa tano. Behave. [emoji23]
Kama Burundi wanakataa ujue kwamba hawakutendewa haki.mnawadharau lakini mnataka kufanya nao biashara.walahhi nyangau hana aibu
Mwanechu wathaa hzo wewe...mchocho wa kiume kazi kusema ya wachu tu..nenda amu ukafugwe..Hahaaa watu wa pwani akili zao zinafanana! Mfano wasee wa Msa wa humu JF likes of acaderm! habari za ufisi ndiyo zina wakosha.. unaeza usimuone humu muda kumbe imejichimbia jukwaa la mapenzi na mahusiano [emoji2]
Ipo garage no more NewyorksDreamliner ikiwa ya KQ ni bodaboda, ikiwa ya ATCL ni the biggest investment in Tz. Unadhani unatusi Wakenya kumbe unatusi Tanzania, nchi yako.
Yeti sii moja. Ziko nane.Ipo garage no more Newyorks
Did you know American airlines owns 1536 aircrafts,majirani need to sit down and be humble na ka dreamliner mojaYeti sii moja. Ziko nane.