Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,518
- 10,839
Chief-Mkwawa-Voda kuanzia 115,000 (bure kuunganishwa)
-Tigo kuanzia 70,000 (650,000 kuunganishwa)
-Airtel kuanzia 70,000 (200,000 kuunganishwa) na 120,000 (bure kuunganishwa)
Hio mitandao ya simu.
Kampuni za waya
-ttcl copper inaanzia 25,000 (unanunua router 55,000)
-ttcl fiber kuanzia 55,000 bure kuunganishwa
-Raha (liquid) kuanzia 50,000 ila wanaisuport majengo na sio mitaa.
-Zuku kuanzia 69,000
-Go fiber kuanzia 75,000
-Net solution fiber kuanzia 60,000 (wanataka uanze na miezi 3)
Overall Airtel wapo vizuri zaidi na hio laki 2 wanakupa router yenye powerbank ambayo unatumia hata umeme ukikatika. Na internet za waya Overall Zuku wapo vyema kama eneo lako wamepita.
Kwa Airtel, nikilipa hiyo 200,000 router inakuja na kifurushi cha ofa au nalipa na kifurushi? Pia, kwa ninavyojua router ya Vodacom ukilipia kifurushi ina mkataba wa miezi 24 na lazima kulipia kila mwezi: je, ni hivyo kwa Airtel pia?