Router (MiFi) ipi inafaa kwa matumizi binafsi?

Chief-Mkwawa

Kwa Airtel, nikilipa hiyo 200,000 router inakuja na kifurushi cha ofa au nalipa na kifurushi? Pia, kwa ninavyojua router ya Vodacom ukilipia kifurushi ina mkataba wa miezi 24 na lazima kulipia kila mwezi: je, ni hivyo kwa Airtel pia?
 
Airtel sio lazima kulipia Kila mwezi ila router Yao jau achana nayo mkuu
 
Hakuna ofa
Airtel sio lazima kulipia Kila mwezi ila router Yao jau achana nayo mkuu
Kwa maana hiyo nikinunua ya Airtel itabidi nilipie 270,000 pamoja na kifurushi? Niliona pia unaweza kulipia 110,000 na kupewa router ambayo hautapata kifurushi cha 70,000.

Vipi, Vodacom napaswa kuwa na kiasi gani na wanahitaji vitu gani ili nipate huduma?
 
Ndio utatoa 270 k mkuu ila ukitaka ya biashara unapewa free ila jiandae kutoka laki Moja na 10 Kila mwezi kwa speed ya Mbps 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…