Confirm kama eneo ulipo lina coverage ya 5G.Router ya Voda imeandikwa 5G na nilichukua vodashop ajabu panel yake inasoma 4G na mbps sio 25 kwa kifurushi cha 110000 Tzs
Hii imelaaje router ya 138k na kifurushi cha 110k
mkuu kwenye cpe kuna auto, 4g na 3g hakuna 5g niko mjini 1km kutoka kwenye majengo yao wenyeweConfirm kama eneo ulipo lina coverage ya 5G.
Kama coverage ipo basi check Setting hapo iwe Auto ili ishike 4G na 5G kutegemea ipi ipo strong.
Kuhusu Chini ya 25MBps hapo inabidi uende Makao makuu mkatest pamoja nao.
Hapo fika ofisini kwao wakatatue tatizo physically.mkuu kwenye cpe kuna auto, 4g na 3g hakuna 5g niko mjini 1km kutoka kwenye majengo yao wenyewe
Hapo kalipa 250,000 ambayo ni bei ya router 5G ikiwa na kifurushi cha mwezi mmoja.Kumbuka hiyo speed ni up to, je inafika ngapi ukitest? Ila kama ni 4g kuwa na speed nzuri ni uongo!
Nb: mi najua device huwa wanatoa bure, imekuwaje umeuziwa? Hizi device za 5g bei imesimama, kwa hiyo bei ya 138k inawezekana ni sawa kukupa hiyo 4g
hawa ni wafanyakazi wa voda huwa naishiwa nguvu ukienda kwenye maduka yao ukitegemea kupata kitu cha maana unapewa cha ajabu nilikwepa mawakala wa mtaani jikidhani nikienda shop itakuwa poa badala yake device niliyouziwa bei hiyo hii hapa chini
Umepigwa🤣mkuu kwenye cpe kuna auto, 4g na 3g hakuna 5g niko mjini 1km kutoka kwenye majengo yao wenyewe
kama nimepigwa basi voda wenyewe wamenipiga sababu nimechukua voda shopUmepigwa🤣
Hapa ilibidi ushtuke mapema sana, hizo ni takataka za kichina zimejaa kkooRouter ya Voda imeandikwa 5G na nilichukua vodashop ajabu panel yake inasoma 4G na mbps sio 25 kwa kifurushi cha 110000 Tzs
Hii imelaaje router ya 138k na kifurushi cha 110kView attachment 3642271
kikiisha kifurushi naitupa jalalani niendelee na kuunga vocha nilikuwa napata 5g kwenye simu yangu japo kwa gharama
Hawajakupa warrant?hawa ni wafanyakazi wa voda huwa naishiwa nguvu ukienda kwenye maduka yao ukitegemea kupata kitu cha maana unapewa cha ajabu nilikwepa mawakala wa mtaani jikidhani nikienda shop itakuwa poa badala yake device niliyouziwa bei hiyo hii hapa chiniView attachment 3642268
Click izo link afu tuma screenshot kwanza, voda kwenye reliability wako poa sanahawa ni wafanyakazi wa voda huwa naishiwa nguvu ukienda kwenye maduka yao ukitegemea kupata kitu cha maana unapewa cha ajabu nilikwepa mawakala wa mtaani jikidhani nikienda shop itakuwa poa badala yake device niliyouziwa bei hiyo hii hapa chiniView attachment 3642268
kama hakuna receipt inakuwaje warrant aiseh nimejifunzaHawajakupa warrant?
kwa mimi kama mimi najuaje hiyo misamiati pale kuna 5g ingetolewa waweke 4gHiyo device ni 4G tu si unaona imeandikwa LTE Cat4
hii 5G ni upande wa WiFi (ie: 5GHz)hawa ni wafanyakazi wa voda huwa naishiwa nguvu ukienda kwenye maduka yao ukitegemea kupata kitu cha maana unapewa cha ajabu nilikwepa mawakala wa mtaani jikidhani nikienda shop itakuwa poa badala yake device niliyouziwa bei hiyo hii hapa chiniView attachment 3642268