Router za 4G au 5G kutoka Tigo Tanzania, ni buure router

Router za 4G au 5G kutoka Tigo Tanzania, ni buure router

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,850
Wakuu

1. Router ni bure
2. Router ni ya 5G
3. Tunakuletea popote
4. Vifurushi ni unlimited
5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100

Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo

Kama ni mtu binafsi
1. Tin certificate
2. Nida ID
3. Pesa ya kifurushi

Kama ni taasisi au kampuni uwe na
1. Nida id ya muwakilishi
2. Tin ya shule
3. Certificate ya registration ya shule
4. Pesa ya kifurushi.

Wakuu narudia na tena Router ni bure na tunakuletea popote, kikubwa ukamilishe vigezo.

Nicheki wa.me/255765991551

IMG-20240518-WA0000(3).jpg
 
"Speed up to" :Clueless:

Janja sana nyie jamaa, kwahiyo ikiwa 0.1 MBps tuziulizane?
 
Wakuu

1. Router ni bure
2. Router ni ya 5G
3. Tunakuletea popote
4. Vifurushi ni unlimited
5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100

Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo

Kama ni mtu binafsi
1. Tin certificate
2. Nida ID
3. Pesa ya kifurushi

Kama ni taasisi au kampuni uwe na
1. Nida id ya muwakilishi
2. Tin ya shule
3. Certificate ya registration ya shule
4. Pesa ya kifurushi.

Wakuu narudia na tena Router ni bure na tunakuletea popote, kikubwa ukamilishe vigezo.

Nicheki wa.me/255765991551

View attachment 3034757
Kinamaliza mwezi kweli au ndiyo kama hivi vifurushi vinaitwa vya Wiki ila huwa vinaisha hata kabla ya saa 24 kutimia?
Kuwa muwazi achana lugha ya kulaghai wateja
 
Sema umbali 100m ikiwa open space..., Je kukiwa na obstructions kama kuna kuta za kutosha bado itashika same distance ?

Nadhani information kama hizi ni bora watu wajue pia
 
Ninzuri kwa watu mlio pamoja kwenye nyumba mnayo shea familia itasaidia nyumbani unakuwa na data na ukiwa office pia
 
Sema umbali 100m ikiwa open space..., Je kukiwa na obstructions kama kuna kuta za kutosha bado itashika same distance ?

Nadhani information kama hizi ni bora watu wajue pia
Na hapa ndipo huwa is router zinafell
Unaambiwa mita100 Lakini utakuta haizd mita30 Inasumbua Nina experience
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom