Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Inapendeza sana
Shilingi ngapiPesa ya kifurushi
Unasambaza tigo huku unatumia vodacom, je hiyo huduma unayotupa ina ubora kweli!Nicheki wa.me/255765991551
Anasambaza nini???Unasambaza tigo huku unatumia vodacom, je hiyo huduma unatupa ina ubora kweli!
Kinamaliza mwezi kweli au ndiyo kama hivi vifurushi vinaitwa vya Wiki ila huwa vinaisha hata kabla ya saa 24 kutimia?Wakuu
1. Router ni bure
2. Router ni ya 5G
3. Tunakuletea popote
4. Vifurushi ni unlimited
5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100
Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo
Kama ni mtu binafsi
1. Tin certificate
2. Nida ID
3. Pesa ya kifurushi
Kama ni taasisi au kampuni uwe na
1. Nida id ya muwakilishi
2. Tin ya shule
3. Certificate ya registration ya shule
4. Pesa ya kifurushi.
Wakuu narudia na tena Router ni bure na tunakuletea popote, kikubwa ukamilishe vigezo.
Nicheki wa.me/255765991551
View attachment 3034757
Malipo kwa mweziFafanua maana ya calendar month
Kwann isiwe unlimitedMalipo kwa mwezi
Na hapa ndipo huwa is router zinafellSema umbali 100m ikiwa open space..., Je kukiwa na obstructions kama kuna kuta za kutosha bado itashika same distance ?
Nadhani information kama hizi ni bora watu wajue pia
Imekujibu maana ya calendar Malpo ndio hayo na ni unlimited kama mtoa post alivyowekaKwann isiwe unlimited