Router za dukani ni bei kubwa, kuna mtandao wa simu unaouza router za huawei zinazoweza kufunguka kusoma lain zote ??

Router za dukani ni bei kubwa, kuna mtandao wa simu unaouza router za huawei zinazoweza kufunguka kusoma lain zote ??

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu.

Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi.

Ni mtandao upi wa simu kwenye maduka yao wana router za huawei ?

Nimechagua huawei sababu kuna features nyingi na support kubwa mitandaoni
 
Kuna Alcatel MW41CL, Huawei E5221s-2 (tigo), B593s-22 (smile) & E5331s-2 (vodacom)
 
Back
Top Bottom