Router za TTCL

hii simu ina line 2..

natumia TTCL na AIRTEL so naswitch between hizo simcards.. kulingana na hali ya network nilipo maana naitumia kama pocket wifi na inanisaidia sana..
 
mie nilichofanya ni kununua simu smart ambayo naifanya kama router kwa kuwasha hotspot then naunga bundle UNLIMITED lile la Mwaka... natumia TTCL nina laini 2... special number
Unlimited kwa mwaka ni sh ngapi na speed yake ipoje mkuu?
 
Kwa Tz, pamoja na mambo mengine tozo zinahusika sana kwenye kupandisha gharama
 
Kibunda mbele
 
mie nilichofanya ni kununua simu smart ambayo naifanya kama router kwa kuwasha hotspot then naunga bundle UNLIMITED lile la Mwaka... natumia TTCL nina laini 2... special number
mwaka mzima unlimited? ni bei gani mkuu?
 
inategemea mie 1.5 ni 3k sasa naweka maybe 100k then naunga 3k 3k 3k.. mpk 100k iishe so nina uhakika wa gb 50 kwa 100k kwa mwaka.
GB 50 kwa Mwaka? Mbona hilo bando la siku moja tu na kama likizidi siku ya pili halimalizi.
Mimi natumia Voda 5G unlimited kwa gharama ya 120 kwa mwezi. Natumia zaidi ya 1TB kwa mwezi. Sasa hivi nina mwaka nimeangalia matumizi yangu ni 14TB tangu nijiunge
 
Bongo hata kama tutakuwa bilioni 1, bei haitashuka kirahis, shida ni system, serikali yetu ni tatizo kubwa, hawataki kabisa maisha yawe nafuu, wao ni sehemu ya kujinufaisha, akitokea mtu akauza gb moja kwa 200 serikali itaweka kodi ya 1000.
Na hapo ndipo tatizo lilipo hata kama ISP watapunguza gharama serikali itapandisha kodi so mwisho wa siku bei itarudi pale pale, Hebu cheki mfano Nchi kama Burundi bei iko chini sana kwa hio hio 4G wala hata si 5G.
 
Hii ni changamoto mkuu hasa kwa 5G ambayo masafa yake ni mafupi, TCRA nimeona wameuza na band ya 700mhz sijajua nani kainunua ila band kama hii inasafiri mbali pengine akaeneza maeneo mengi nchini.
 
Kama uko maeneo ya mjini Funga Fiber kutoka TTcl unlimited mweI mzima kwa 50k
 
Bongo hata kama tutakuwa bilioni 1, bei haitashuka kirahis, shida ni system, serikali yetu ni tatizo kubwa, hawataki kabisa maisha yawe nafuu, wao ni sehemu ya kujinufaisha, akitokea mtu akauza gb moja kwa 200 serikali itaweka kodi ya 1000.
Jamaa atakuwa yupo ndani ya system, Dangute alitaka kushusha bei ya Cement iliwezekana. Nchi inabahati mbaya sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…