Router za TTCL

Router za TTCL

hii simu ina line 2..

natumia TTCL na AIRTEL so naswitch between hizo simcards.. kulingana na hali ya network nilipo maana naitumia kama pocket wifi na inanisaidia sana..
 
mie nilichofanya ni kununua simu smart ambayo naifanya kama router kwa kuwasha hotspot then naunga bundle UNLIMITED lile la Mwaka... natumia TTCL nina laini 2... special number
Unlimited kwa mwaka ni sh ngapi na speed yake ipoje mkuu?
 
KaKa huku nchi za watu internet ni kama maji ya kunywa. Natumia kifurushi cha makadiri ya 9k per month.

Simu ni unlimired
100sms per day
2gb of data per day
Nikiwq sehemu yenye 5g natumia unlimited bureee

Kwa siku 28

Bongo tunafeli wapi?
View attachment 2994831
Kwa Tz, pamoja na mambo mengine tozo zinahusika sana kwenye kupandisha gharama
 
Hapo kwenye kilengele cha kufungiwa huduma kutoka TTCL hapo😂😂😂🙌🙌🙌aanhaa. Nmeshahangaika nao wee ila waapii bhana. Wanaudhi kwelikweli,sijui watu uwa wanajisikiaje kuwa maofisini na hawafanyi kazi inayowafanya kuwa hapo ofisini.
TTCL ni ooovyoko
Kibunda mbele
 
mie nilichofanya ni kununua simu smart ambayo naifanya kama router kwa kuwasha hotspot then naunga bundle UNLIMITED lile la Mwaka... natumia TTCL nina laini 2... special number
mwaka mzima unlimited? ni bei gani mkuu?
 
inategemea mie 1.5 ni 3k sasa naweka maybe 100k then naunga 3k 3k 3k.. mpk 100k iishe so nina uhakika wa gb 50 kwa 100k kwa mwaka.
GB 50 kwa Mwaka? Mbona hilo bando la siku moja tu na kama likizidi siku ya pili halimalizi.
Mimi natumia Voda 5G unlimited kwa gharama ya 120 kwa mwezi. Natumia zaidi ya 1TB kwa mwezi. Sasa hivi nina mwaka nimeangalia matumizi yangu ni 14TB tangu nijiunge
 
Bongo hata kama tutakuwa bilioni 1, bei haitashuka kirahis, shida ni system, serikali yetu ni tatizo kubwa, hawataki kabisa maisha yawe nafuu, wao ni sehemu ya kujinufaisha, akitokea mtu akauza gb moja kwa 200 serikali itaweka kodi ya 1000.
Na hapo ndipo tatizo lilipo hata kama ISP watapunguza gharama serikali itapandisha kodi so mwisho wa siku bei itarudi pale pale, Hebu cheki mfano Nchi kama Burundi bei iko chini sana kwa hio hio 4G wala hata si 5G.
 
Changamoto ni kua hii nchi hizi network coverage zinadelay sana kufika mikoani , wilaya nilipo mpka sasa kuna mitandao miwili haina hata 4g , means wanufaika wanabaki wachache na bei ina delay kushuka ,Nini sababu ya kuifanya 4G,au5G kuzinduliwa au majiji mawili na baadae kuchukua zaidi ya mwaka au miaka kushindwa kufikia nchi nzima.
Hii ni changamoto mkuu hasa kwa 5G ambayo masafa yake ni mafupi, TCRA nimeona wameuza na band ya 700mhz sijajua nani kainunua ila band kama hii inasafiri mbali pengine akaeneza maeneo mengi nchini.
 
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router

Nina Smart TV yenye kuingia YouTube, simu janja ya kwangu, mke na wanandugu watatu (Simu 5). Pia Computer, CPU mbili kwa ajili ya kazi zangu za kiofisi hapa nyumbani. Nilikuwa naelekea kununua Router ya 5G kutoka Airtel, katika pekenyua yangu ya hapa na pale mtandaoni, nikagundua kuwa zina madhaifu yake hasa hasa pale utakapofanya uploads za mara kwa mara. Hizo 2mbps sidhani kama zitaweza kuswitch devices mentioned above

Lakini kuna mdau kaniambia nikachukue Router ya TTCL, naombeni ushauri wenu kuhusu hili mkihusisha upatikanaji, ufanisi, gharama za kuanzia, pamoja na gharama za kila mwezi

Ni hayo tu, Ahsanteni
Kama uko maeneo ya mjini Funga Fiber kutoka TTcl unlimited mweI mzima kwa 50k
 
Bongo hata kama tutakuwa bilioni 1, bei haitashuka kirahis, shida ni system, serikali yetu ni tatizo kubwa, hawataki kabisa maisha yawe nafuu, wao ni sehemu ya kujinufaisha, akitokea mtu akauza gb moja kwa 200 serikali itaweka kodi ya 1000.
Jamaa atakuwa yupo ndani ya system, Dangute alitaka kushusha bei ya Cement iliwezekana. Nchi inabahati mbaya sana hii.
 
Back
Top Bottom