Routers za kampuni gani nzuri kwa biashara?

Routers za kampuni gani nzuri kwa biashara?

Naomba kujua router ya kampuni gan na aina gani ni nzur kwaajili ya biashara?
Eleza kuhusu.
- Idadi ya wateja unayotarajia kuhudumia kwa wakati mmoja (makadirio) | Hii ni muhimu ili ushauriwe kuhusu ISP, Aina ya route na Speed Package itakayokidhi mahitaji husika.

Kisha wadau watakupa mapendekezo
 
Kuna jamaa anauza zinasupport laini yoyote nilinunua 80000 ziko poa sana
 
Back
Top Bottom