NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Nauza TP Link Routers . *New*
Specs zake:
TP-Link Wireless Router 300M Wifi router TL-WR842N 2.4G Wireless router Wifi repeater TPLINK 802.11b.
TEXTS/CALL:- 0755 907671
TSH 130,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mkuu... Bei ni 130,000/=Biashara nyingine mnajichelewesha wenyewe, wawekee watu bei walinganishe na madukani, wengine humu wana maduka wafanye comparison mtu akikupigia mnaongea biashara tu, inavuta watu zaidi na kukupunguzia maswali.
Ok bosssiuzi izo mkuu
BeiView attachment 794955
.
hizi huzi uzi Mkuu??
.
au kama kuna mtu anaitaji nimuuzie, ni mpya kabisa cjawai itumia
Weka bei mkuu
Bei gani boss wangu?View attachment 794955
.
hizi huzi uzi Mkuu??
.
au kama kuna mtu anaitaji nimuuzie, ni mpya kabisa cjawai itumia
Minilinunua 30,000/=Bei gani boss wangu?
20,000 tuuu
20,000/=Weka bei mkuu
Mbona hiyo nauziwa hadi 90,000 mpaka 70,000 ya kweke ina sifa zipi?View attachment 790190
Nauza TP Link Routers . *New*
Specs zake:
TP-Link Wireless Router 300M Wifi router TL-WR842N 2.4G Wireless router Wifi repeater TPLINK 802.11b.
TEXTS/CALL:- 0755 907671
TSH 130,000/=
Ukinunua wapMinilinunua 30,000/=
We nipe 20,000
mpyaaaa kabisa nilinunua pamoja na CCTV Camera , sasa kumbe sio lazima itumike io router.
Ko nime iweka tuu c itumii