Matatizo yaliyopo liverpool hayajasabaishwa na Roy.
Kuna wachezaji hawana moyo tena wakuchezea liverpool mnawalazimish. Mchezaji kama Torres kuna watu watasema hayuko fit 100% lakini ukweli hana moyo wa hata 90% kuchezea liverpool kwa sasa tofauti na kipindi alichokuwepo benitez.