Royal Bloodline. Damu Takatifu

Tata matukio yaliyotokea kwenye tarehe 13=4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nikupongeze wa uthubutu wako wa kujaribu kuandika Aya japo 50 , jambo ambalo watanzania wengi wameshindwa. pongezi kwako.

Lakini nikulaumu kwa kushindwa kutumia akili yako ya kuzaliwa acha ile ya darasani ambayo hujawahi itumia kabisaa.

Bandiko lipo kienyeji sana, No evidence ni stori tu kama insha za darasa la pili.

Reptilian Race yenyewe umepita nayo locally sana, ni ngumu kwa mtu unayetamani aelewe huu uongo aweze kukuelewa.
 
Katika masomo magum karne ya 21 ni somo la propaganda.
kutofautisha fantasy na reality imekuwa ngum sana sababu ya propaganda.
 

Asante mkuu. But knowledge inarithishwa kwa njia ya masimulizi na sio vitabu. Chunguza sana utagundua faishi simulizi ndi chombo maalum cha kufikisha ujumbe kwa hadhira. Fasihi andishi sio cha kiamini sana kwani huwezi pata mafasi ya kuuliza maswali kwa Fanani. Mm nimepata maarifa haya kutoka kwa Fanani direct.
 
hesabu zangu zinaniambia toka adam mpaka sasa ni miaka 6000 ya haraka.

hivi vizazi 13 inabidi uelezee taratibu ili ueleweke,au ni elf hawafi hao jamaa!!!!
 
hesabu zangu zinaniambia toka adam mpaka sasa ni miaka 6000 ya haraka.

hivi vizazi 13 inabidi uelezee taratibu ili ueleweke,au ni elf hawafi hao jamaa!!!!

Vizazi 13 ni mfano tuu unaotumika ili kufikisha ujumbe. Royal bloodline zipo hata hapa tanzania ila tatizo royalty zimechangqmana na jamii ya adamu wakazaliwa hybrids au chotara. Kila kinachozaliwa na jinsia ya kike lazima kife.

Wakina adamu hawakuishi miaka mia tisa au zaidi ya mia na ishirini waliishi miaka ya kawaida sema tu kalenda zao zilikuwa fupi. Mfano gregorian calender in siku 365 imegawanywa mafungu 4. Enzi za adamu na jamii yao kalenda yao ilikuwa fupi. Ndo mana wanaonekana wameishi maisha marefu ili kudanganya watu.
 
Kama namba 13 ni namba tata sasa mimi nimezaliwa siku ya jumatatu tarehe 13 mwezi wa 11 mzee nyota NG'E hapo unanielezeaje mtu kama mimi maana huwa ninajitafuta sana sipati majibu ya uhakika
 
Hakuna kitu kinaitwa yehova au jehova ni kunda la miungu 24 ambao 12 ni wa haki na 12 ni wa batili. Wote wanaongoza na ndio wakuu wa hii matrix
Kwa iyo kuna dozen 2 sio moja positive na ingine ndio negative si ndio,,au ndio maana baadhi ya watu wana concept kuwa MUNGU ni universe(laws of attraction,meditation,what goes around comes back around).Huku Roman Catholic kwenye mafundisho ya ukatekumeni tunafundishwa kuwa ,,MUNGU YUKO WAPI? JIBU NI MUNGU YUKO MAHALI POTE. Njoo Kwenye physics and the physical sciences and hayo astronomy and astrologies ndio utauona utukufu wa Mungu.Kila kitu kimekaa kimpangilio tu,yaani ni full systems kuanzia miili yetu mammal,plants non living things vyote viko systemised sema siwezi elezea ila najua naeleweka kidogo but dah inafikirisha Sana mimi bado naamini MUNGU ni mmoja tu ndio kaweka hizi system zote hata iyo unayosema a group of 24,yaan 12 positive na 12 negative.
 
Kwa mantinki hiyo MUNGU yupo sema tu namna wanadamu wanavyom perceive ndio utata si ndivyo unachomaanisha Kuwa njia za kumjua huyo THE ALL ndio tumepigwa changa kama nimekuelewa vyema
 
Yaani mnazidi kunichanganyi tu kama Bambo,,kwa iyo huwa kuna watu na binaadamu duh
 
Kama namba 13 ni namba tata sasa mimi nimezaliwa siku ya jumatatu tarehe 13 mwezi wa 11 mzee nyota NG'E hapo unanielezeaje mtu kama mimi maana huwa ninajitafuta sana sipati majibu ya uhakika

Nge ni nyota ambayo asili yake ni maji inatawaliwa na sayari mihiri au mars pamoja na pluto.namba yake ni 8 na pia inawakiliaha kifo. Namba 13 kwa nge ni namba nzuri. Tarrot card namba 8 represent death and it is is a scorpion Card.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…