Royal Bloodline. Damu Takatifu

Royal Bloodline. Damu Takatifu

Kwa iyo kuna dozen 2 sio moja positive na ingine ndio negative si ndio,,au ndio maana baadhi ya watu wana concept kuwa MUNGU ni universe(laws of attraction,meditation,what goes around comes back around).Huku Roman Catholic kwenye mafundisho ya ukatekumeni tunafundishwa kuwa ,,MUNGU YUKO WAPI? JIBU NI MUNGU YUKO MAHALI POTE. Njoo Kwenye physics and the physical sciences and hayo astronomy and astrologies ndio utauona utukufu wa Mungu.Kila kitu kimekaa kimpangilio tu,yaani ni full systems kuanzia miili yetu mammal,plants non living things vyote viko systemised sema siwezi elezea ila najua naeleweka kidogo but dah inafikirisha Sana mimi bado naamini MUNGU ni mmoja tu ndio kaweka hizi system zote hata iyo unayosema a group of 24,yaan 12 positive na 12 negative.

Mungu ni sheria na pamoja na energy Basi hayo mambo mengine ni prooaganda. Vitu vyote vipo katika devine oneness vinajiendesha na siri ya mungu ipo kwenye law of gravity pamoja na kwenye damu ya wanyama akiwamo binadamu.
 
Kwa mantinki hiyo MUNGU yupo sema tu namna wanadamu wanavyom perceive ndio utata si ndivyo unachomaanisha Kuwa njia za kumjua huyo THE ALL ndio tumepigwa changa kama nimekuelewa vyema

Tafuta kitabu cha Kybalion.
 
Mwili wa binadamu unaumbwa kwa chakula, kabla ya kuwa chakula kilikuwa nafaka, mboga, majimaji, hewa na nyama. Kabla ya hapo ni mazao yalimea ardhini na mifugo iliyokula mimea au chakula kilichotokana uoto wa ardhini. In that process una trans form udongo kuwa mwili. Unapoambwiwa umeumbwa kwa udongo hii ndio tafsiri yake. Kitendo cha kula na kunywa ni kitendo cha Mungu cha kuumba. Wewe unaangalia kwa wakati na nafasi (kwa uwongo) lakini in truth (moment) you are part of creation. Your one with God na Uumbaji wake.
 
Refer science aisee MUNGU ni wa ajabu sana,that's why I can say Life is pure physics
 
Nimejaribu kukuelewa,Ila nahitaji kujua kutoka kwenye hiyo Royal bloodline na kwa nn 13
Je Ni nn siri ya number 13 na hata kufanywa kuwa number isitosemekana sana.hata jersey number 13 sikumbuki km nishawahi kuiona,na hata tarehe 13 Mara nyingi inakuwaga ni ya matukio
badison
Cc Mshana Jr

Park J Sung alikuwa anavaa jezi no 13 pale manchester united na hadi leo hii cjui hii jezi inavaliwa na mchezaji gani
 
Nimeona kushea na watu hii story ni jambo la muhimu. Kama wewe ni muumini wa dini yoyote tafadhali usisome hapa acha, usije ukabadili fikra za misimamo yako na utafunguka macho kisha utaanza kuuliza maswali.

Nitazungumzia kuhusu 13 illuminati bloodline pamoja na asili ya binadamu chimbuko lao. Hapa nazungumzia wana Adam au kizazi cha Adam na Eva.

Kwanza kiasili watu wa mwanzo nazungumzia zamani kabisa walikuwepo tuu kwani ndio ulimwengu ulivyo kila kitu kilitokea tuu kwa wakati mmoja. Kulikuwa hakuna uumbaji wowote wala mungu wa biblia na qurani hakuumba kitu.

Asili ya mwanadamu wa kwanza kwa mujibu wa hizi dini amaitwa Adam Kadmon au Zakar. Historia ya kuumbwa kwa huyu binadamu inatambuliwa na vitabu vya biblia na qurani, hivi vitabu viwili vinafanana story zake kwa ukaribu sana tofauti ni moja tuu biblia inaandikwa kizungu( Roman alphabet) na qurani imeandikwa kwa kiarabu. Ila story na wahusika ni wale wale.

Adam aliubwa kutokana na udongo uliochotwa pande kuu 4 za dunia na malaika au jina lingine Anunaki wanaoitwa Gabriy El, El Zodog, Murduk El, Israafi pamoja na mkuu wao ambaye anaitwa Anu. Huyu anu ndio El Eloh au Allah au Jehova

Huyu Adamu ni kizazi cha 14 aliubwa sehemu moja inaitwa The Lahmu au Planet Mars chini ya project inayoitwa sphinx project. Kilicho fanyika hapo ni genetic splicing of Chromosomes. Genetic splicing inaendana na genetic modification za DNA.

Baada ya project Adama kukamilika kuna kundi la Anunaki miongoni mwao wale wakuu 12 ambao ni Disagreeable ambao hawakutaka hiki kitendo kifanyike ambao ndio luciferians wakaandaa njama na kuleta vita huko andromeda au mbinguni. Hii ilasababisha vita kati ya luciferian/ reptilians na Adam na kizazi chake.

Chanzo ni kugombea dunia ambayo kipindi hiko ilikuwa inaitwaTiamat au Qi Ila hii mada ni ndefu inahitaji muda sana kuelezea story za lucifer na ukoo wake. Kwani ulimwengu unaongozwa na Wajumbe 24 kutoka makundi makubwa mawili positive na negative. Aliyejuu zaidi hana kundi.

Turudi kwenye topic. Picha linaanza Adamu alivyo maliza kuubwa alipuliziwa “roho” utata ndio unaanzia hapa hiyo roho aliyo puliziwa Adamu ilikuwa ni Artificial Intelligence AI ya kumkontrol Hisia zake na mwili wake. Ambapo Adamu alikuwa anaendeshwa kama Remote.

Adamu alikuwa ni first Clone au photocopy ya binadamu wa asili ushahidi upo kwenye biblia yenyewe. Mfano baada ya Kaini kumuua ndugu yake kwenye ugomvi wa kugombani mke alifukuzwa na kwenda kuishi sehemu ingine. Ngoja ninukuu story kutoka kwenye bible kitabu cha mwanzo

“. Leo umenifukuza kutoka ardhi yenye rutuba na mbali nawe. Basi, nitakuwa mtu wa kutangatanga, asiye na makao maalumu duniani, na yeyote atakayeniona ataniua.” Yoyote atakae mwona atamuua inamana tofauti ya familia yake kuna watu wengine walikuwa wanaishi hapa duniani. Skia na hii

“Lakini Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Sivyo! Atakayekuua wewe Kaini atalipizwa mara saba.” Basi, Mwenyezi-Mungu akamtia Kaini alama ya tahadhari, ili yeyote atakayemwona asimuue. Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni.” Hii inamanisha abeli sio mtu wa kwanza kuuwawa na watu wengine walikuwa wanauwa tuu ndio mana kaini akawa na hofu ya kuuwawa na watu wakimuona.

Hii pia inatuambia kwamba baada ya bwana Kaini kuondoka mbele za mwenyezi mungu akaenda zake kuishi nchi ya Nodi. Haiingii akilini kuona mungu anaishi duniani pale edeni na kaini alikuwa kama anapiga story na mungu hivi ukisoma hayo maelezo vizuri. Kwanini kaini apige story na mungu? Kwanini kaini alisamehewa na mungu na kupewa ulinzi wakati hajaomba hata msamaha.

Turudi kwenye mada. Zile familia 13 za illuminati ni jina baya tuu wamepewa ili kuficha ukweli wa siri kuu duniani. Kwani mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Zile 13 royal bloodline ndio zinatawala dunia kwa mamlaka yote na utajiri mkubwa uliopitiliza. Mfano familia ya Windsor utawala wa malkia Elizabeth wa uingereza ni moja kati ya Pure Bloodline.

Royal Bloodline ndio asili ya mwanadamu halisi wa hapa duniani sio hybrids kama adamu na kizazi chake. Hawa royal Bloodline hawaruhusu kuzaa au kuoana na kuolewa na watu wa jamii ya kawaida huwa wana utamaduni wa kuoana wenyewe kwa wenyewe ili kutunza damu yao isichanganyikqne na uchafu.

Mfano Princess Diana na Dodi Fayed walikuwa na uhusiano. Diana ni royal bloodline na Dodi ni mtu wa kawaida tuu. Diana alionekana anataka kuchafua damu ya ukoo wa kifalme ndio maana yakatokea yaliyo mtokea tarehe 31 namba mbaya. Hiyo ni foo.

Ndio mana hata mume wake diana charles prince of wale alikuwa hamkubali prince harry na kuonyesha dalili sio mtoto wake. Huyu prince herry kachukua tabia za mama yake na yeye kakataa ufalme kaoa mtu wa kawaida. Yuko tofauti kabisa na kaka yake prince William ambaye ni royal blood.

Hawa adamu na kizazi chake walikuwa sio Nature product bali ni GMO wakazaliana sana na kupelekewa wakawa wengi ikafika idadi wakachangamana na watu wa asili ya duniani kwani ni ngumu sana kuwatofautisha. Ila wazee wa zamani wachache waliobaki wanaweza kutofautisha watu wa asili na viumbe hawa binadamu.

Ukiangalia familia nyingi za kichifu zinaheshimika sana na huwezi kuoa au kuolewa na mtoto wa chifu kizembe. Kwani ukweli hii siri machifu walikuwa wanaijua na hawa binadamu enzi hizo walikuwa na utii kwa watu wa asili. Ila sasa hivi wao ndio wanaongoza dunia ndio mana kuna maporomoko ya maadili.

Sifa ya kuwagundua hiki kizazi cha adamu ni tamaa ya mali, ngono, wivu, wachawi, chuki, visasi, dulma kuwa na roho mbaya, kuwa na roho ngumu ya kinyama yani wanaweza hata kuuwa kwa ajili ya mali au mwanamke tamaa ya pesa isiyo na mfano na mwanamke jamii ya adamu anapenda attention sana yupo radhi kuwa na uhusiano na watu wengi kwa sababu ya kupewa attention na mambo mengine mabaya ndiyo sifa zao kuu ni kama hawana nafsi yes hawana nafsi.

Kwa upande wa watu wa asili wa hii dunia kwanza sifa yao ni ukarimu, roho nzuri, hawana tamaa, hawana wivu wala chuki wala sio wachawi, sio watu wacha mungu sana ila kuna nguvu wanaiamini na nguvu hiyo inawalinda japokuwa hao wenyewe hawajui kama wanalindwa. Mchawi akisoma anajua namanisha nini hapa.

Lengo la jamii ya Adamu ni kutawala hii dunia. Kwani wanapenda mali na starehe hasa Zinaa kuliko maisha baada ya kifo. Hawaamini kuwa kuna maisha baada ya kufa kwani wapo empty ndani ya mioyo yao wapo busy kusaka mali na kuzisahau kuokoa roho zao.

Watu wa mwanzo kabisa hawakuubwa kwa mfano wa Mungu kwani mungu hafanani na kitu chochote wala sura yoyote sasa Mwanzo 1:26 Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; huo ni uthibitisho wa cloning technology kwamba adamu alikuwa copy.

Free your minds. Kumbuka kuwa kila kitu unachokijua kuhusiana na historia ya dunia ulivikuta na wewe ukafindiswha na probably na wewe unawafundisha watoto wako au utakuja kuwafundisha watoto wako. Fungua akili yako utoke nje ya Matrix. Kila kitu ni uongo kama movie.

Biblia na qurani zinaruhusu utumwa na watu wengi wa asili ya duniani ni weusi na kwanini hao ndio watumwa mpaka sasa hivi? Kwanini unafata kitabu chao wakati wao hawajafanyana watumwa.

Maisha ya binadamu ni kama wasanii hivi wanafata script na hawatakiwi kutoka nje ya hiyo script kwani wakipata uwezo wakutoka kwenye hiyo script wanaharibu movi na director atachukia na kukasirika. Maisha ya watu ni kufata biblia na qurani humwambii kitu. Utaishi vipi maisha yako kwa kufata story uliyoikuta na utakufa utaiacha?hivi wewe kwanini usiwe na mawazo yako na utashi wako binafsi.

Kabla ya jesus na musa na yesu na mtume muhamadi kwani kulikuwa hakuna mungu au mpaka ufate mungu wa hao.? Hapa ni sehemu ya intelligence hivo fikiria sana kwanini kila kitu unachokijua lazima kuna mtu amekufundisha iwe ni padri au mchungaji au shehe. Ni kitu gani wewe unejifunza mwenyewe? Ambacho kitakukomboa utoke nje ya MATRIX CONTROLED SYSTEM?

Kitu cha kuzingatia ni kimoja unaweza kuta wewe ni royal bloodline lakini hujui. Ukitaka kujua kuwa wewe ni royal bloodline angalia watu waliokuzunguka. Unaweza kuta baba yako ni robot lakini kama mama yako ni royal bloodline unaweza kupata nafasi ya kujitambua asili yako.

Kama wewe ni royal bloodline utakuwa ni EMPATH AU EMPATHETIC MAN OR WOMAN. Kama wewe ni Robot utakuwa ni PSYCHOPATH AU SOCIOPATH.

Soma na hapa Pre-Adamite - Wikipedia
Agreed ...sema mimi sio muandishi mzuri tu ila the story of the annunaki na origin ya human being in uhalisia ambao ni proven kuliko story vitabu vya dini na adam na hawa..
 
Nimeona kushea na watu hii story ni jambo la muhimu. Kama wewe ni muumini wa dini yoyote tafadhali usisome hapa acha, usije ukabadili fikra za misimamo yako na utafunguka macho kisha utaanza kuuliza maswali.

Nitazungumzia kuhusu 13 illuminati bloodline pamoja na asili ya binadamu chimbuko lao. Hapa nazungumzia wana Adam au kizazi cha Adam na Eva.

Kwanza kiasili watu wa mwanzo nazungumzia zamani kabisa walikuwepo tuu kwani ndio ulimwengu ulivyo kila kitu kilitokea tuu kwa wakati mmoja. Kulikuwa hakuna uumbaji wowote wala mungu wa biblia na qurani hakuumba kitu.
"The lips of wisdom are closed, except to the ears of understanding..."
 
Nge ni nyota ambayo asili yake ni maji inatawaliwa na sayari mihiri au mars pamoja na pluto.namba yake ni 8 na pia inawakiliaha kifo. Namba 13 kwa nge ni namba nzuri. Tarrot card namba 8 represent death and it is is a scorpion Card.
Mi tarehe 01 mwezi wa 11.Ebu nipe dondoo kidogo.
 
Umenimalizia bando langu bure.
 
Theory nzuri sana,Kuna maeneo ina matobo ila naona nikiongezea nitawavuruga wengi ila kwa ufupi ni hivi....Duniani kuna aina mbili ya Binadamu,Pure Breed na Hybrid-Pure Breed ni wanadamu kamili wa kawaida ambao ni care takers wa dunia na hawak wengi na Hybrid ni wanadamu wanaotokana na Crosbreeding kati ya malaika waasi na mabinti za wanadamu ambao hawa lengo lao ni kuiharibu dunia.

Swali Je wewe ni Pure Breed au ni Hybrid?Kwa sasa ni vigumu sana kujua na kuna wakati katika Crossing za Binadamu zainabuka Pure Breeds fulani.
 
Katika masomo magum karne ya 21 ni somo la propaganda.
kutofautisha fantasy na reality imekuwa ngum sana sababu ya propaganda.
Ni kwa sbb teknolojia imewezesha siri nyingi za dunia kuwa hadharani, hivyo elites ambao wengi wao ni dark magicians wameona watumie propaganda ili kuchanganya ukweli na uwongo na kuzalisha hizi zinazoitwa conspiracy theories...ata hivyo matumizi yake nayo yana muda mfupi kwani baada ya muda baadhi ya watu huweza kuchambua pumba na mchele...ukweli wa kwanza ni kuwa hawa royals wa sasa si royal wa kweli bali ni wale waliojifunza sayansi ya uchawi kwa njia za ujasusi yani kuinflitrate royals wa zamani either kwa kuozeshana au kushirikiana na mwishowe kuassimilate kabisa utamaduni wa mtu mwingine na kufanya kuwa wao...na hawa false royals wao ndo hujifanya kuwa watawala...chunguza sana nembo za falme zao wengi wao hutumia wanyama ambao hawapatikani katika mazingira yao, mfano simba. Sasa unajiuliza hawa waingereza wako kaskazini huko nembo ya simba inahusiana vipi na ufalme wao. Jibu linaweza kuwa siri ya nguvu zao labda zimetoka sehemu zingine na kwa hiyo wao wameadapt hizo nembo.

Great Seal of UK.jpg

Seal of Ethiopia.jpg

Hii ya chini ni nembo ya Ethiopia
Nchi zote za Ulaya na Ustaarabu wao wote umetokana na kutawaliwa na Dola ya Rumi. Mfano mji wa London ulianza kama mji mdogo wa warumi uitwao Londonium Miaka ya 47 AD.
 
Kwa nini umeshauri wacha Mungu na wafia dini waiepuke topic, wakati huo huo umedadavua mambo ya uumbaji na nafasi ya Mungu, shetani na malaika waasi?

Ushauri wako huo ulitaka kuwaepusha na nini?
Anakwepa maswali magumu
 
Katika kila anacho fanya Mungu Shetani pia ana kuwa na Plan B yake!!........Biblia ya shetani pia ipo km ilivyo ya Mungu!! Mungu alipo umba Adamu na Hawa Shetani pia kaumba wake!!...... aliweka taifa lake Israel shetani pia kaweka lake na lipo mpaka leo ila hamjui tu!!

na wengi mnaliabudu na kuimba kuwa ni Taifa teule
 
Back
Top Bottom