Royal Bloodline. Damu Takatifu


Mungu ni sheria na pamoja na energy Basi hayo mambo mengine ni prooaganda. Vitu vyote vipo katika devine oneness vinajiendesha na siri ya mungu ipo kwenye law of gravity pamoja na kwenye damu ya wanyama akiwamo binadamu.
 
Kwa mantinki hiyo MUNGU yupo sema tu namna wanadamu wanavyom perceive ndio utata si ndivyo unachomaanisha Kuwa njia za kumjua huyo THE ALL ndio tumepigwa changa kama nimekuelewa vyema

Tafuta kitabu cha Kybalion.
 
Mwili wa binadamu unaumbwa kwa chakula, kabla ya kuwa chakula kilikuwa nafaka, mboga, majimaji, hewa na nyama. Kabla ya hapo ni mazao yalimea ardhini na mifugo iliyokula mimea au chakula kilichotokana uoto wa ardhini. In that process una trans form udongo kuwa mwili. Unapoambwiwa umeumbwa kwa udongo hii ndio tafsiri yake. Kitendo cha kula na kunywa ni kitendo cha Mungu cha kuumba. Wewe unaangalia kwa wakati na nafasi (kwa uwongo) lakini in truth (moment) you are part of creation. Your one with God na Uumbaji wake.
 
Refer science aisee MUNGU ni wa ajabu sana,that's why I can say Life is pure physics
 

Park J Sung alikuwa anavaa jezi no 13 pale manchester united na hadi leo hii cjui hii jezi inavaliwa na mchezaji gani
 
Agreed ...sema mimi sio muandishi mzuri tu ila the story of the annunaki na origin ya human being in uhalisia ambao ni proven kuliko story vitabu vya dini na adam na hawa..
 
"The lips of wisdom are closed, except to the ears of understanding..."
 
Nge ni nyota ambayo asili yake ni maji inatawaliwa na sayari mihiri au mars pamoja na pluto.namba yake ni 8 na pia inawakiliaha kifo. Namba 13 kwa nge ni namba nzuri. Tarrot card namba 8 represent death and it is is a scorpion Card.
Mi tarehe 01 mwezi wa 11.Ebu nipe dondoo kidogo.
 
Umenimalizia bando langu bure.
 
Theory nzuri sana,Kuna maeneo ina matobo ila naona nikiongezea nitawavuruga wengi ila kwa ufupi ni hivi....Duniani kuna aina mbili ya Binadamu,Pure Breed na Hybrid-Pure Breed ni wanadamu kamili wa kawaida ambao ni care takers wa dunia na hawak wengi na Hybrid ni wanadamu wanaotokana na Crosbreeding kati ya malaika waasi na mabinti za wanadamu ambao hawa lengo lao ni kuiharibu dunia.

Swali Je wewe ni Pure Breed au ni Hybrid?Kwa sasa ni vigumu sana kujua na kuna wakati katika Crossing za Binadamu zainabuka Pure Breeds fulani.
 
Katika masomo magum karne ya 21 ni somo la propaganda.
kutofautisha fantasy na reality imekuwa ngum sana sababu ya propaganda.
Ni kwa sbb teknolojia imewezesha siri nyingi za dunia kuwa hadharani, hivyo elites ambao wengi wao ni dark magicians wameona watumie propaganda ili kuchanganya ukweli na uwongo na kuzalisha hizi zinazoitwa conspiracy theories...ata hivyo matumizi yake nayo yana muda mfupi kwani baada ya muda baadhi ya watu huweza kuchambua pumba na mchele...ukweli wa kwanza ni kuwa hawa royals wa sasa si royal wa kweli bali ni wale waliojifunza sayansi ya uchawi kwa njia za ujasusi yani kuinflitrate royals wa zamani either kwa kuozeshana au kushirikiana na mwishowe kuassimilate kabisa utamaduni wa mtu mwingine na kufanya kuwa wao...na hawa false royals wao ndo hujifanya kuwa watawala...chunguza sana nembo za falme zao wengi wao hutumia wanyama ambao hawapatikani katika mazingira yao, mfano simba. Sasa unajiuliza hawa waingereza wako kaskazini huko nembo ya simba inahusiana vipi na ufalme wao. Jibu linaweza kuwa siri ya nguvu zao labda zimetoka sehemu zingine na kwa hiyo wao wameadapt hizo nembo.






Hii ya chini ni nembo ya Ethiopia
Nchi zote za Ulaya na Ustaarabu wao wote umetokana na kutawaliwa na Dola ya Rumi. Mfano mji wa London ulianza kama mji mdogo wa warumi uitwao Londonium Miaka ya 47 AD.
 
Kwa nini umeshauri wacha Mungu na wafia dini waiepuke topic, wakati huo huo umedadavua mambo ya uumbaji na nafasi ya Mungu, shetani na malaika waasi?

Ushauri wako huo ulitaka kuwaepusha na nini?
Anakwepa maswali magumu
 
Katika kila anacho fanya Mungu Shetani pia ana kuwa na Plan B yake!!........Biblia ya shetani pia ipo km ilivyo ya Mungu!! Mungu alipo umba Adamu na Hawa Shetani pia kaumba wake!!...... aliweka taifa lake Israel shetani pia kaweka lake na lipo mpaka leo ila hamjui tu!!

na wengi mnaliabudu na kuimba kuwa ni Taifa teule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…