Royal Bloodline. Damu Takatifu

sadakankafara na mambo
Siyo kweli hiyo ninamba ya ushindi na miuijiza kwafano;Yesu nilitumia hiyo namba katika muijiza aliyoifanya kila alipokuwa akifanya muijiza walikuwa 13.hiyo ninamba ya ushindi kiroho kwa upande wa watu wa Mungu ila kwa waabudu shetani ni namba ya kazana.
 
Haha...unaenda kuchanganyikiwa au tayari umechanganyikiwa tayari
 
Uongo mtu we mwanadamu wa asili
 
Kwamba sayari ilitokea tuu from no where au? Na kama ndio ilitokeaje tokewaje
 
Hapa nimedaka pumba tuuuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwani huyo Malkia a Elizabeth na familia yake si hawapendi watu weusiiii[emoji23][emoji23][emoji23] hebu kamwambie aliyekupa hyo story aanze mojaaa[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kweli hii na.13 sio zuri kabisa nakumbuka 2020 mwz 01. tar 13. ilitokea ajari mbaya sana kijijini kwetu!
 
Nilivyoelewa Waafrika ama watu weusi wote ni Pure Blood ndiyo maana hawana tamaa na mali za kidunia na wanaonekana ndio masikini zaidi.

Na wazungu/whites ndiyo copy ya hao anunaki ndiyo maana wana tamaa na uchu sana na mambo ya kidunia.
Mwafrica akili hakuna, wanajiangamiza wenyewe kwa wenyewe, kupitia uchawi, husda na wivu.
 
Hakuna cha Royal bloodline wala pure bloodline - Hizo ni terms walizoanzisha bimadamu wajanjawajanja - waliotake advantage kulingana na mazingira yao, maamuzi, uwezo, ulaghai na kujipa uwezo ambao haupo, ni vitu vya kufikirika tu.
Binadamu wote ni sawa, tumeumbwa na uwezo sawa 100% - tunakuja kutofautiana kulingana na mazingira tunamozaliwa, taarifa tunazopata tangu tukiwa watoto wadogo, lishe, maneno, mafundisho, elimu na kujengewa uwezo wa kujiamini na kujitambua.
Kiumbe ambaye sie binadamu jao ni level tofauti - labda hao malaika n.k..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…