Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

Kuna mmoja hapo na mimi namfahamu sikujua kama ana ukwasi wa kutoa fee ya 500m

Wacha na mimi nipunguze kelele zianze kujaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Kuna kiwango cha pesa ukiwa nacho, hata vibaka hawakusogelei.

I want that spirit, sijui ntawezaaa, shida nikipata pesa tuu 😜😜😜 napika msosi mtamu na kuuposti insta....πŸ™„πŸ™„πŸ˜€.
 
Sasa kula tokea lini kukamaliza hela!
 
Wee usiombe ukutane na mwanamke kama mie nnayependa kula halafu napenda kupika chakuka kizuri...

Yaani najikuta napika kama hotelini hadi setting ya meza hizo zote pesa...

Pesa yenyewe kibaba, inaisha yotee....πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Ukipata hela usisahau kunialika .mwenyewe napenda Kula vitu vitamu jamani
 
Lakini Wanadamu sometimes wana maisha ya sifa.
Kuna watu wanakosa chakulq, mavazi, na makazi ila kuna wengine wapo busy kujiunga na vyama visivyo na maana yoyote.
Dadeq, wanakera. Bora Tsunami ije itumalize dunia iishe kabisa
Pesa zao, wametafuta kwa jasho lao, msiwapangie matumizi, kama ninyi raha yenu kusaidia masikini, saidieni, hata hivyo matajiri wengi mpaka wanafika hapo washasaidia sana, na ndio wamiliki wa hivyo vituo vya mayatima, mmebaki makapuku kulilia huruma, tafuteni pesa zenu, muache kuona wivu
 
Wee usiombe ukutane na mwanamke kama mie nnayependa kula halafu napenda kupika chakuka kizuri...

Yaani najikuta napika kama hotelini hadi setting ya meza hizo zote pesa...

Pesa yenyewe kibaba, inaisha yotee....πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Fanya mchakato basi tuweze kuona hayo madikodiko huko insta.
 
Ukipata hela usisahau kunialika .mwenyewe napenda Kula vitu vitamu jamani


Hilo limeisha shosteee, nikipatamo tuu vijisenti nakualika tule, tunywe, halafu tunacheza mziki sebleni hadi tusinzie...πŸ˜….

Nakuwaga na hekaheka kama dera la mcheza kigodoro πŸ˜„.
 
Kuna level ukifikia, hizi K sio issue tena maana ukihitaji popote ulipo aina yeyote unapata.

K haiwezi kuwa priority tena, bali priority yanakuwa mambo mengine hasa biashara ili usiporomoke status yako ikarudi chini.

Ukiona mke wako anaweza kuchepuka kisa hela ujue umeoa kahaba sio mke.

Katika wanaume 100 haijalishi wana hela kiasi gani basi 95 lazima watakuwa wanaparamia mabinti huku na kule either kwa kificho au hata kwa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…