Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

Hawa matajiri wakubwa,

Jeff Bezos alioa MacKenzie Scott
Bill Gates alioa Merinda French Gates

Na bado hao wanawake waliomba talaka kutoka kwa hao matajiri.

Ndoa sio pesa tu, hata matajiri wana matatizo yao.
Mke wako akiwakilimbilia hao Royal Family.
Amekimbilia matatizo pia.

#Happy New year
 
Si hata davis mosha ndoa imemshinda, kuishi na mke siyo hela tu kuna mambo mengi sana kufanya mwanamke akupende na akuheshimu
Unaweza kumlaumu Mosha ,ila unaweza kuta hela zake ndizo zilizomponza, ukiwa na hela fake friend na malaya ni wakuwa nao makini kwani wengi waigizaji.Inawezekana aliona mke sahihi kumbe ni malaya na mdangaji,aliye jivisha nguo ya mke mwema.
 
Back
Top Bottom