Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri.
Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia, sidhani kama pekee yao wanakidhi vigezo vya kufanya hii tour iwe na ushawishi kwa walengwa(watalii).
Hivyo, endapo tour hii itakuwa na matokeo hafifu huku imetumia gharama kubwa kuiandaa, basi hii itakuwa kashifa ya kisiasa kwa walioiandaa na zaidi kwa Rais Samia na hii itamgharimu kisiasa hasa kwenye kampeni za 2025 kwani wapinzani wataitumia tour hii kueleza mojawapo ya failure ya Rais Samia na Serikali yake.
Tupiganie Tume Huru kuyaona haya 2025.