Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

Msg sent to spika et all.chanjo isitugawe na kulipasua taifa.Chanjo ni hiari.Spika na waziri mmeelewa?
 
Gwajima,
Amepanda mapa ya mwisho,mwezi ujao anavuliwa uanachama na maccm .
Unadhani ccm wajinga? Mtu anajenga shule kwa pesa zake za mfukoni, kajenga ofisi 2 za chama kwa hela yake, hao waliomzuia asirudi bungeni hadi mwakani wamefanya nini either majimboni mwao au kwenye chama? Kwa ufupi hao ndio mzigo cause hawana impact yeyote chamani wala serikalini na hata majimboni kwao.
 
KWahiyo bwashe mshahara ni matumizi mabaya ya ruzuku? Au mimi ndio sielewi hasa neno "matumizi mabaya" lina maana gani?
Mishahara ni matumizi sahihi ya ruzuku bwashee.

Nilichouliza ikiwa Chadema hawapati ruzuku mishahara ya watendaji wa chama inatoka wapi?
 
Kama yule Kingu ndio bure kabisa!
 
Your browser is not able to display this video.
 
😂😂😂😂Futuhi ,🏃🏊
 
Mimi nangoja ibada ya Jumapili ijayo kwenye Kanisa la Ufufuo na Uzima nisikie Gwaji atasema nini tena!
Tusijekushangaa amefanya U-turn!
Kutokana na Viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa za nchi hii,hawaaminiki tena!
 
Mimi nangoja ibada ya Jumapili ijayo kwenye Kanisa la Ufufuo na Uzima nisikie Gwaji atasema nini tena!
Tusijekushangaa amefanya U-turn!
Kutokana na Viongozi wa dini kujiungiza kwenye za nchi hii,hawaaminiki tena!
Alishafungz mjadala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…