Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Halafu ni ujinga tu, watu waliweka booking toka November 2021Idadi imeongezeka kutoka idadi ipi kwenda ipi leta takwimu sio blabla,maana Kuna watu mmekuwa myopic kwa kusifia ujinga tu.
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo.
Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii waliwasili nchini tarehe 23 Julai, 2022 na kupokelewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja.
Idadi ya watalii inazidi kuongezeka nchini ni matokeo ya filamu ya Royal Tour iliyokuwa ikionyesha vivutio vilivyopo Tanzania na hivyo kuvutia wageni kuja.
Yaani ni mambo ya kijinga snWamekwambia royal tour ndo imewaleta!?
Anaaandika huku akikabwaIdadi imeongezeka kutoka idadi ipi kwenda ipi leta takwimu sio blabla,maana Kuna watu mmekuwa myopic kwa kusifia ujinga tu.
Asante kwa taarifa,maendeleo tunayaona.Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo.