Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo.
Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii waliwasili nchini tarehe 23 Julai, 2022 na kupokelewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja.
Idadi ya watalii inazidi kuongezeka nchini ni matokeo ya filamu ya Royal Tour iliyokuwa ikionyesha vivutio vilivyopo Tanzania na hivyo kuvutia wageni kuja.