Royal Tour: Watumishi wa Umma Tumeona Matokeo Yake

Royal Tour: Watumishi wa Umma Tumeona Matokeo Yake

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Kwakweli binafsi nashukuru sana kwa nyiongeza nono ya 25,000/= (kabla ya makato) nadhani haya ni baadhi tu ya matunda ya filamu yetu.

Nasema ni matunda maana filamu imemtengeneza msanii kweli kweli na sanaa hiyo aliitumia katika hotuba ya mei mosi na sasa tumeshuhudia na kudhihirisha bila shaka kuwa, sanaa ya maigizo imepata nguli mpya.

Wenye wivu mjinyonge, mimi nasema hivi, 2025 aende kuungana na magwiji wengine huko Hollywood kiti amwachie mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom