Royal Tour ya Rais Samia Yapaisha Utalii wa Tanzania Hadi Namba 5 Afrika.Watalii Zaidi ya Milioni 5.5 Watembelea Tanzania 2024.

Royal Tour ya Rais Samia Yapaisha Utalii wa Tanzania Hadi Namba 5 Afrika.Watalii Zaidi ya Milioni 5.5 Watembelea Tanzania 2024.

Hizo namba za Utalii ni nini kama sio ushahidi?

Je unajua kwamba Serikali iliweka target ya kufikia watalii 5mln by 2025 na Mapato $3.5bln?

Baada ya hizo target ndio mama akaingia mzigoni .

Target ya Watalii imefika ila Fedha zomefikia $3bln

Sasa how hayo ni matunda ya Royal tour?Filamu ambayo imetazamwa na 557 K only kwenye platforms zote kwa ujumla
 
Sasa how hayo ni matunda ya Royal tour?Filamu ambayo imetazamwa na 557 K only kwenye platforms zote kwa ujumla
Hukuona maelfu ya Waongoza Watalii wakija Tanzania Kwa Ajili ya kwenda kutafuta soko jipya baada ya kuona Filamu?
 
Mpaka 2030 tutakuwa nafasi za juu kabisa. Ndio maana nasema tubadilishe tu katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu Mpaka achoke mwenyewe.
 
Ubadhirifu na matumizi mbaya ya fedh za umma.
Yote hayo ni kazi bure
Ni takwimu zisizokuwa na msaada wowote.
 
Back
Top Bottom