ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Sijui hebu nifundishe maendeleo ni nini?
Hizo namba za Utalii ni nini kama sio ushahidi?
Je unajua kwamba Serikali iliweka target ya kufikia watalii 5mln by 2025 na Mapato $3.5bln?
Baada ya hizo target ndio mama akaingia mzigoni .
Target ya Watalii imefika ila Fedha zomefikia $3bln
Hukuona maelfu ya Waongoza Watalii wakija Tanzania Kwa Ajili ya kwenda kutafuta soko jipya baada ya kuona Filamu?Sasa how hayo ni matunda ya Royal tour?Filamu ambayo imetazamwa na 557 K only kwenye platforms zote kwa ujumla
Hukuona maelfu ya Waongoza Watalii wakija Tanzania Kwa Ajili ya kwenda kutafuta soko jipya baada ya kuona Filamu?
NdioWaliulizwa wakasema wamekuja baada ya kuona Royal tour?
KunywaChai
Kunywa
๐Tena bila sukari na vitafunwaChai
Wivu na aibu ๐ ๐๐Tena bila sukari na vitafunwa
Wivu na aibu ๐Imepoa
๐Tena bila sukari na vitafunwa
Imepoa
Ubadhirifu upi huo? Ingekuwa hivyo huko mtaani kwlo usingeona miradi ya Umma ๐๐Ubadhirifu na matumizi mbaya ya fedh za umma.
Yote hayo ni kazi bure
Ni takwimu zisizokuwa na msaada wowote.