Royal Tour yahamia Chato

Royal Tour yahamia Chato

Maneno kama haya akiyasoma ndugu wa karibu wa ben saa 8 anaweza akakushangaa sana.
Imeandikwa usihukumu maana utahukumiwa. Na jambo usilolijua, ni kama usiku wa giza. Kinachonipa faraja ni kuwa Mwenyezi Mungu sio mnafiki na wala haonei mtu.
Tunaweza kumbebesha mtu matatizo ambayo wala sio yake. Ndio ubinadamu wetu. Ukweli ni kuwa wapo wengi walitumia sana vibaya nafasi zao. Na siamini kama wote walitumwa kufanya hivyo.
 
Maneno kama haya akiyasoma ndugu wa karibu wa ben saa 8 anaweza akakushangaa sana.

Hapana ila atakuwa anamshangaa nduguye alikosaje kazi ya kufanya mpaka akajip ile aliyoamua kuifanya??
 
Back
Top Bottom