share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Ni kwamba,
1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi.
2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo filamu ni yao na watalipwa wao. Sasa kwa Tanzania ina tafsiri IPI?
3. Huyu Peter ameshafanya Royal Tour nchini Rwanda na hakukuwa matokeo chanya. Sasa Tanzania itakuwa tofauti?
4. Imeripotiwa kuwa delegation ya Rais Samia huko Marekani imefanya kufuru ya matumizi ya fedha za umma kwenye hotel ya Ritzs. Je huu si uhujumi uchumi?
Wadau na wakereketwa wa uchumi wa TZ mnasemaje.