Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
Nyie acheni uhuni yaishe basi twendeni kwenye baraza la usuluhishi
Subiri kidogo tujadili masuala ya muhimu, prinsi anaoa bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie acheni uhuni yaishe basi twendeni kwenye baraza la usuluhishi
nilisema nduka unavurugu za maono ,ss unaishia unaandika upepo!Hivi na yule mbwa wa Obama anaitwa nani tena? ok Bo naye amealikwa...hahahaha Big news
nilisema nduka unavurugu za maono ,ss unaishia unaandika upepo!
Wastage of money and time, yaani hii Royal family inamaliza tu pesa za walipa kodi mie hata umuhimu wao siuoni.Wapo wapo tu kula raha wakati wanakamua watu kodi.hivi hakuna movement iliyoenda against hii royal family Uk