Rozay mbona hajapost waka waka ?

mbwembwe nyingi akili kisoda eti Rozay [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe Wa timu wewe. Wachambe lakini
 
Kweli yaani wamarekani wengi hawajui chochote nje ya marekani na wala hawajali.

Kuna video niliicheki et 2017 hii kuna wamarekani wanajua africa ni nchi moja na wote mablack na maskini
 
Kufanya collabo na wasanii wa US ni kupoteza mda tu, wana makuzi sana alf hata nyimbo zenywewe hua zinakua za kipimbi tu
 
Kitendo tu cha kufanya colabo na rozay ni hatua kubwa sana, rozay sio mwanahiphop wa mchezomchezo, apost asipost still mondi ana credits kubwa kwa kufanikisha Hiyo colabo kukubaliwa na rozay, go dai, go dai, tupo nyuma yako wapenda maendeleo yako
 
Diamond anajua mziki sana sana hilo nampongeza ila tatizo lake kubwa ni ushamba ambao yeye ajaufanyia kaz akiamin kuongea kingereza vema amisha maliza.

Anaitaji smartness sana ktk kaz zake hasa kuacha ushamba wakupost kiclips kabla ya muda, ajifunze kuwa cool,

Akilifanyia kazi hilo naamin watamtafuta wao pia, akumbuke safar ya kuingia kwenye mzik wa dunia unachangamoto nying zaid kuliko ushabik wa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…