pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
mbwembwe nyingi akili kisoda eti Rozay [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mkuu watu wa Madale wanadhani huo wimbo huko Marekani unatamba kweli kweli
Hivi ni Rozzana au Ozana halafu nini maana ya Ozana!..Rozzana wa buguruni hapo.
kakopi kwa nani wanguLiwimbo lenyewe kacopy ngoja wamkomeshe
Kweli yaani wamarekani wengi hawajui chochote nje ya marekani na wala hawajali.Rick Ross apost huo wimbo ili iweje?
Kwanza ni nani Marekani anaujua huo wimbo?
Urban station ipi ambao huo wimbo upo kwenye rotation?
Rick Ross wala hahitaji kabisa kuu promote huo wimbo.
Huo wimbo mnaushobokea huku tu kwa sababu ya huyo Rick Ross.
Mngejua jinsi Wamarekani wasivyojua chochote na wasivyo na raghba na miziki wa kwingineko wala msingehoji.