RPC Arusha: Kundi la Wadudu ni kama Wasanii, wanafanya Sanaa sio Wahalifu

RPC Arusha: Kundi la Wadudu ni kama Wasanii, wanafanya Sanaa sio Wahalifu

Hao wadudu ni wa kukaa nao kwa tahadhari kubwa maake wengi wao wanavuta sana bangi na baadhi yao ni watumia madawa ya kulevya (unga)~miongoni mwao ni vibaka ,wakabaji na wezi
Unga wanaupata kwa pesa ipi??
Bangi ni tiba na mti wa uzima Bob Marley na wewe nani alikuwa na tatizo la akili
 
Back
Top Bottom